Mama Agnes Matle Ngula afariki leo asubuhi!
Bibi Agnes Matle Ngula enzi za uhai wake
Aliyekuwa naibu waziri wa fedha Bw Venance Ngula leo hii asubuhi amempoteza mkewe Bibi Agnes Matle Ngula ambaye alikuwa akiugua kwa muda sasa. Mtoto wa kwanza wa marehemu Wali Francis Ngula...
Soma Zaidi..Shabiki wa Liverpooll auawa kwa kumkejeli shabiki wa Arsenal!
Raha iliyoje 5-1????
Shabiki wa miaka mingi wa Liverpool Anthony Mutheiya alikufa muda mfupi baada ya firimbi ya mwisho katika mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Arsenal jumamosi iliyopita baada ya kuchomwa kwa kisu na shabiki wa Arsenal...
Soma Zaidi..Obama na Beyonce wazushiwa jambo!
Mtandao wa dailystar.co.uk wa nchini Uingereza ambao ni maarufu kwa habari za kidaku, leo hii umechapisha habari ilizodaiwa na mwandishi wa habari Mfaransa Paschal Rostain kuwa gazeti linaloheshimika nchini Marekani la Washinton Post linatarajiwa...
Soma Zaidi..Kwani timu yako ikifungwa goli tano lazima uanguke?
Baada ya timu ya Arsenal (The Gunners) jana kupokea kipigo kikali kilichoendana na maumivu makali cha goli 5-1 toka kwa timu ya Liverpool (Bwawa la maini) aka (Liverfools) kocha Arsene Wenger aliteleza na kuanguka nje ya stesheni ya treni...
Soma Zaidi..Hanifa Fundikira ahitimu uzamili!
Mwanadada Hanifa Mdemu Fundikira leo hii katika chuo kikuu cha Northampton, amehitimu shahada ya uzamili katika utalii (Masters in Tourism management) Blog hii na blog mama Keronyingi blog zinachukua fursa hii kumpongeza bibi...
Soma Zaidi..Chozi!
Mjane wa Nelson Mandela Mama Graca Machel akifuta machozi.
Binti ya Nelsona Mandela, Mandla akiongea machache kabla ya Mazishi ya Madiba
Umati wa viongozi wa nchi mbali mbali duniani na watu mashuhuri wakihudhria mazishi ya Mandela...
Soma Zaidi..Kama Mandela hatoenda peponi nani ataenda?
Winnie Mandela na Askofu Desmond Tutu
Mke wa zamani wa Mandela Winnie Mandela kushoto na mjana wa Mandela Mama Graca Machel wakifuta machozi.
Msafara wa mwili wa Mandela ukiwasili Qunu jana.
Kapumzike kwa amani Baba Madiba...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)