![]() |
| Winnie Mandela na Askofu Desmond Tutu |
![]() |
| Mke wa zamani wa Mandela Winnie Mandela kushoto na mjana wa Mandela Mama Graca Machel wakifuta machozi. |
![]() |
| Msafara wa mwili wa Mandela ukiwasili Qunu jana. |
![]() |
| Kapumzike kwa amani Baba Madiba ndivyo lisemavyo bango hili la baadhi ya waombolezaji |
![]() |
| Msafara ukiwasili Qunu jana |








