mkalamatukio: ENTERTAINMENTS
Showing posts with label ENTERTAINMENTS. Show all posts

Tabora Stand Up; Eid Mosi Wasanii Wafurika Hapatoshi.

Shangwe na burudani za kutosha zinatarajiwa kufanyika katika sikukuu ya Eid hapo kesho mkoani Tabora panapo majaaliwa ya M/Mungu. Mashabiki mbalimbali mjini Tabora watarajiwa kufurahia onesho hilo katika maeneo mawili tofauti ambapo...
Soma Zaidi..

Mpigie kura Ally Baucha ashinde Kili Music Awards!

Msani machachari Ally Baucha ambaye kupitia wimbo wake Kelele aliomshirikisha Ally Kiba ameteuliwa kushiriki katika kinyang'anyro cha kugombea tuzo za Msanii anayechipukia ambapo amepewa namba 23 na vile vile amepewa namba 26 katika...
Soma Zaidi..

Tabora Funga mwaka Bash kuburudishwa wa na Belle9!

Msanii mkali wa Bongo Flava Belle9 atakuwa ni mmoja wa wasanii watatu watakaoburudisha Tamasha la Club Royal Funga Mwaka Bash litakalofanyika mjini Tabora katika ukumbi maarufu wa New Royal Garden. Akiongelea tamasha hilo mmoja wa wadhamini...
Soma Zaidi..

BOB JUNIOR KUZINDUA WIMBO MPYA "BASHASHA" KAMSHIRIKISHA VANESSA MDEE

NYIMBO MPYA AMBAYO INAAMINIKA KUWA NI NZURI ZAIDI YA ULIZOWAHI KUZISIKIA ITAKWENDA KWA JINA LA "BASHASHA"  MWANADADA MKALI VANESSA MDEE NAYE NDANI KASHIRIKISHWA KWENYE NYIMBO HIYO KALI UTAKAYOPATA KUISIKILIZA BAADA YA UZINDUZI WAKE. SASA...
Soma Zaidi..

BOB JUNIOR | MASAI NYOTAMBOFU | SAMIR NA MASELE CHA POMBE KUBURUDISHA SIKUKUU YA EID EL HAJ TABORA

Bob junior aka Mr Chocolate Flavor BOB JUNIOR | MR CHOCOLATE | RAIS WA MASHAROBARO | MTAALAMU WA VIOUNO NI MSANII NA PRODUCER ANAYETAMBA NA VIBAO KAMA KIMBIJI, ANDAZI  NA NYINGINE NYINGI, KWA MARA YA KWANZA ATADONDOSHA BONGE MOJA...
Soma Zaidi..

MSANII: ALLY NIPISHE amepania kuwaona live mashabiki wake wa Tabora

MSANII: ALLY NIPISHE Msanii wa kizazi kipya anayetamba na vibao kama Ntalila, Nipulika, Daima na milele, Binadam (aliyoimba na AT) na kibao kikali kinachotamba hivi sasa cha MY amepania kuwaona live mashabiki wake wa Tabora huku akimtafuta...
Soma Zaidi..

Mapacha watatu wazindua albam Tabora!

UZINDUZI; Chokoraa kushoto na Jose Mara wakizindua album mpya katika ukumbi wa Frankman, Tabora. Bendi ya Mapacha watatu usiku wa alhamisi katika ukumbi wa Frankman Place mijini Tabora, walizindua album yao mpya iendayo kwa jina la Yarabi...
Soma Zaidi..

Jon Myuzik avamia Tabora!

Msanii Jon Myusik aki pose! Kushoto; Mkala, Pili Issa, Jon Myuzik na Danny Kijumbe at Las Vegas pub Tabora Msanii wa muziki wa kizazi kipya John Myuzik ambaye anatamba na track yake mpya "TONIGHT" yupo Tabora kwa masuala ya ki familia,...
Soma Zaidi..

Dayna amtunza shabiki buku kumi!

Dyna na patna wake wa stejini. Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flava Dyna, wikiendi iliyopita alitoa mpya pale alipoamua kumtunza kijana mmoja ambaye yeye Dyna alimwita stejini ili asaidiane naye kuimba wimbo alioimba na Marlow...
Soma Zaidi..