mkalamatukio: SPORTS
Showing posts with label SPORTS. Show all posts

Shabiki wa Chelsea mpigania haki za binadamu atuhumiwa kwa ubaguzi Paris!

Bw Richard Barklie akihutubia kongamano la haki za binadamu nchini India Imebainika kuwa askari polisi wa zamani na mpigania haki za binadamu Bw Richard Barklie ni mmoja kati ya mashabiki watatu wa Chelsea waliomzuia mtu mweusi Suleyman...
Soma Zaidi..

Homa ya mchezo kati ya Coastal union na Simba sports club yapamba moto!

Tanga town Wakazi wa jiji la Tanga, viunga vya vyake na mikoa ya jirani leo hii watapata burudani inayotarajiwa kuwa ya kupendeza leo hii jioni mnamo saa 10.15 za jioni wakati Wekundu wa Msimbazi Simba SC itakapoingia katika stadia ya Mkwakwani...
Soma Zaidi..

Promota wa Lennox Lewis aamua kuwa mwanamke!

Frank Maloney akishangilia ushindi wa Lenox Lewis Frank Maloney(61) promota maarufu wa ndondi wa zamani ambaye amewahi kuwa promota wa bingwa wa zamani wa uzito wa Juu Lennox Lewis ameamua kujibadili kuwa mwanamke na Kujiita...
Soma Zaidi..

Shabiki wa Liverpooll auawa kwa kumkejeli shabiki wa Arsenal!

Raha iliyoje 5-1???? Shabiki wa miaka mingi wa Liverpool Anthony Mutheiya alikufa muda mfupi baada ya firimbi ya mwisho katika mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Arsenal jumamosi iliyopita baada ya kuchomwa kwa kisu na shabiki wa Arsenal...
Soma Zaidi..

Kwani timu yako ikifungwa goli tano lazima uanguke?

Baada ya timu ya Arsenal (The Gunners) jana kupokea kipigo kikali kilichoendana na maumivu makali cha goli 5-1 toka kwa timu ya Liverpool (Bwawa la maini) aka (Liverfools) kocha Arsene Wenger aliteleza na kuanguka nje ya stesheni ya treni...
Soma Zaidi..

Arsene Wenger/Alex Ferguson na David Moyes waenda Xmas shopping pamoja!

Huyu bwana kushoto mwa picha anajiuliza ninaowaona ndio wenyewe ama? Je inaweza ikawa kweli, kuwa Arsene Wenger, David Moyes na Sir Alex Ferguson wakaenda shopping pamoja?  Jana waenda shopping ya Christmas nchini Uingereza waliweza...
Soma Zaidi..

Mpiga mbizi shujaa amkaribia Papa!

Wapiga mbizi Vincent Canabal na Daniel Botelho walihatarisha maisha yao ili kumkaribia papa hatari katika pwani ya visiwa vya Bahama huko Marekani katika fukwe za Tiger ambapo Vincent alikuwa akimlisha chakula cha mbwa, papa  huyo...
Soma Zaidi..

Shabiki wa Arsenal apoteza nyumba baada ya Man United kuishinda Gunners!

Hali mbaya Robin Van Persie akiwazamisha The Gunners Shabiki mkereketwa wa timu ya Arsenal (the Gunners) Mganda Henry Dhabasani mkazi wa jijini Kampala alijikuta akipoteza nyumba yake  dhidi Rashid Yiga ambaye aliweka dau la gari...
Soma Zaidi..

Valencia ndiye mchezaji mwenye kasi kuliko wote duniani!

Nyota wa Arsenal Theo Walcot amekuwa akifikiriwa ndiye mcheza soka mwenye kasi kuliko wote duniani, lakini imebainishwa kuwa kiungo wa timu ya Man United Antonio Valencia ametajwa na FIFA kuwa ndiye mcheza soka mwenye kasi kuliko wote ulimwenguni,...
Soma Zaidi..

Azam yailaza Rhino Fc!

Timu ya Azam Fc ya jijini Dar es Salaam leo hii imeilaza timu ya Rhino Rangers ya mjini Tabora kwa goli 2 kwa sifuri kwa magoli ya Gaudence Mwaikimba kwa shuti kali lililopita kulia mwa lango la kipa wa Rhino Fc mnamo dakika ya 56,baada ya...
Soma Zaidi..

Totenham wawastaajabisha Real Madrid kwa dau la kumuuza Gareth Bale!

Gazeti la michezo lenye ukaribu na kilabu cha Real Madrid leo hii limedai kuwa Mwenyekiti wa Totenham Hotspurs ya jijini London, Uingereza Bw Daniel Levy amewapa bei ya kumnunua mshambuliaji Gareth Bale kuwa ni Euro145 Milioni au kwa maneno...
Soma Zaidi..

Yupi Cristiano na yupi ni Ronaldo?

Ama kweli duniani wawili wawili...
Soma Zaidi..