| Nice Mbelwa(Meneja vipindi)akiwatambulisha washiriki wa Miss TPSC 2013 kwa mhariri wa habari wa Cg fm 89.5 Bw Titus Filipo. |
| Mkurugenzi wa Cg fm 89.5 Bw George Charles ambaye pia ni injinia wa kituo hicho cha redio. |
| Mtangazaji Vivian Pyuza akiwa studioni tayari kwa mahojiano na washiriki wa Miss TPSC |
| warembo pose! |
| Mratibu wa shindano la Miss TPSC 2013 |
| Mmetuona? Joyce Lilian na Perpetua. |
| Paulina akijibu moja ya maswali toka kwa Nice Mbelwa na Vian Pyuza wa Cg fm 89.5 jana |
| Mshiriki Lulu akiwekwa mtu kati kwa maswali na watangazaji wa Cg fm 89.5 |
| Mshiriki Miss Saada akicheka baada ya kuulizwa swali la kizushi |


