MAMAA NYAWANA AMEPUMZISHWA KATIKA MAKAZI YAKE YA MILELE KATIKA MAKABURI YA ITETEMYA HAPA MKOANI TABORA, NJE KIDOGO NA MJI
MAZISHI YAMECHELEWESHWA KUTOKANA NA KUCHELEWA KUWASILI KWA MWILI HUO WA MAREHEMU

| Sheikh akitoa mawaidha mawili matatu kwa wahudhuriaji |
![]() |
| Mac Denny akiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzake wa VOT fm 89.0 redio walipokuwa wakiwasilisha ubani wao kwa Baba mdogo wa marehemu Bw Adam Fundikira |
![]() |
| Fundi mitambo Dj Faster akiandaa urushaji Live shuhuli ya maziko ya Nyawana |
![]() |
| Gari la matangazo live la Vot fm 89.0 |
![]() |
| Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu wakimsikiliza ustaadh nyumbani kwa Baba mkubwa wa marehemu Nyawana Gongoni, Tabora. |
![]() |
© mkalamatukio 2015 . Powered by Blogger . Blogger Templates . Premium Blogger templates