| Afisa Utamaduni wilaya ya Tabora Bw Katunzi akisisitiza jambo |
| Models wa Redds Miss Tabora wakiwa wamevalia fulana maalum zinazotolewa na mdhamini mkuu Tbl kupitia kinywaji chao cha Redds Premium cold. |
| Nassor Wazambi (Mkuu wa itifaki) wa kamati ya Miss Tabora 2013 akisisitiza jambo jana katika uzinduzi wa shindano hilo |
| Warembo wa Miss Tabora wakionesha Redds Premium cold. |
| Toka kushoto: Saad Masawila, Mkala Fundikira, Pili Issa (Miss Tabora 2010) na Zena Motte(Miss Singida 2012/13) |
| Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Tabora waki pozi kwa picha! |


