![]() |
| Bw na Bibi Venance Ngula wakiteta jambo enzi za uhai wa Bibi Agnes Matle Ngula |
![]() |
| Mama Ngula akibandikwa mabusu na mwanae Wali Francis Ngula na mkewe Enika Kombe Ngula muda mfupi baada ya harusi yao mwaka juzi . |
![]() |
| Mtoto wa mwisho wa mama Agnes, Nancy Ngula akiwa na marehemu |
![]() |
| Bibi Agnes Matle Ngula enzi za ujana wake. |
![]() |
| Francis Wali Ngula |








