mkalamatukio

Binti wa Michuzi Ajitoa Kimasomaso; Achukua Form ya Ubunge wa Viti Maalum

   Zahara Michuzi alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana. Zahara Michuzi ni binti wa Issa Michuzi blogger na mpiga picha hodari wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Soma Zaidi..

VYUO VYATAKIWA KUTOA ELIMU KULINGANA NA MAHITAJI YA AJIRA HAPA NCHINI

Na Woinde Shizza,Arusha VIJANA wengi  wanaohitimu vyuo hawapati kazi mara tu ya kuhitimu masomo yao kutokana na kutokuwepo kwa vyanzo vya ajira vinavyokwenda sambamba na ongezeko la wahitimu na kuchangia kuwepo kwa wimbi...
Soma Zaidi..

Bandora uso kwa uso na Mh Aden Rageh ubunge Tabora mjini!

Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjini Wagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rageh na Bandora Mirambo leo  hii...
Soma Zaidi..

Kauli ya Sergio Ramos kuiambia Real Madrid anataka kujiunga na Manchester United yawakuna wengi!

Mlinzi mahiri wa kilabu cha Real Madrid Sergio Ramos amuambia uongozi wa kilabu hicho nguli kuwa anataka kujiunga na Manchester United na si vinginevyo kitendo hicho kimewapendeza mashabiki wengi wa soka hasa nchini England ambao wanaichukulia...
Soma Zaidi..

Wana jumuiya ya Kinondoni kuteua viongozi baada ya mfungo wa Ramadhani!

Wanajumuiya wa kikundi cha Kinondoni wakibadilishana mawazo baada ya mazishi ya marehemu George Nganda Mratibu wa kikundi cha wana Kinondoni Bw Ivan Minja amesema kikundi hicho kitateua vingozi wa muda katika kikao kitakachofanyika...
Soma Zaidi..

Picha mbali mbali katika mazishi ya George Nganda!

Toka kushoto ni Dada July Kitundu, Dada Rita na Mama Desouza Majonzi yatawala makaburini! Kamanda wa CCM tawi la Kinondoni Bwawani Bw Steve Nyerere kulia akiwa na wadau wengine Msanii Hard Mad naye alihudhuria mazishi Wadau...
Soma Zaidi..