mkalamatukio

Chozi!

Mjane wa Nelson Mandela Mama Graca Machel akifuta machozi. Binti ya Nelsona Mandela, Mandla akiongea machache kabla ya Mazishi ya Madiba Umati wa viongozi wa nchi mbali mbali duniani na watu mashuhuri wakihudhria mazishi ya Mandela...
Soma Zaidi..

Kama Mandela hatoenda peponi nani ataenda?

Winnie Mandela na Askofu Desmond Tutu Mke wa zamani wa Mandela Winnie Mandela kushoto na mjana wa Mandela Mama Graca Machel wakifuta machozi. Msafara wa mwili wa Mandela ukiwasili Qunu jana. Kapumzike kwa amani Baba Madiba...
Soma Zaidi..

Hali ya hewa ilivyotesa Huko kaskazini mashariki mwa Marekani wikiendi iliyopita!

Gari dogo likiwa imeacha barabara baada ya theluji nyingi kudondoka na kupelekea dereva wa gari hilo kupoteza mwelekeo na kutumbukia pembezoni mwa barabara(Free way) Wikiendi iliyopita ilikuwa ni ya heka heka kubwa katika miji iliyo Kaskakazini...
Soma Zaidi..

Shujaa wangu Nelson Mandela!

Nelson Rolihlala Mandela, the man must have come from another planet, after his release from Roben Island prison, he suprised the whole world for urging fellow black South Africans to forgive and forget for all the oppression they suffered...
Soma Zaidi..

Roy Keane amshambulia vikali Ferguson!

Nyakati za furaha:Sir Alex na nahodha wa zamani wa Man united Roy Keane wakibeba juu moja ya makombe ya EPL waliyoyashinda pamoja Katika hali isiyoshangaza wengi Roy Keane amemshambulia kocha wake wa zamani Sir Alex Ferguson kuwa anapenda...
Soma Zaidi..

Arsene Wenger/Alex Ferguson na David Moyes waenda Xmas shopping pamoja!

Huyu bwana kushoto mwa picha anajiuliza ninaowaona ndio wenyewe ama? Je inaweza ikawa kweli, kuwa Arsene Wenger, David Moyes na Sir Alex Ferguson wakaenda shopping pamoja?  Jana waenda shopping ya Christmas nchini Uingereza waliweza...
Soma Zaidi..

Mpiga mbizi shujaa amkaribia Papa!

Wapiga mbizi Vincent Canabal na Daniel Botelho walihatarisha maisha yao ili kumkaribia papa hatari katika pwani ya visiwa vya Bahama huko Marekani katika fukwe za Tiger ambapo Vincent alikuwa akimlisha chakula cha mbwa, papa  huyo...
Soma Zaidi..