mkalamatukio

Breaking news! Jaji wa Redds Miss Tabora afariki asubuhi hii!

Marehemu Terry Mbaika siku ya shindano la Redds Miss Tabora 2013 Aliyekuwa jaji katika shindano la Redds Miss Tabora 2013 Miss Terry Mbaika (pichani kushoto) amefariki leo hii asubuhi katika hospitali ya Jeshi ya Mirambo mjini Tabora....
Soma Zaidi..

Azam yailaza Rhino Fc!

Timu ya Azam Fc ya jijini Dar es Salaam leo hii imeilaza timu ya Rhino Rangers ya mjini Tabora kwa goli 2 kwa sifuri kwa magoli ya Gaudence Mwaikimba kwa shuti kali lililopita kulia mwa lango la kipa wa Rhino Fc mnamo dakika ya 56,baada ya...
Soma Zaidi..

Utamliliaje mtu leo, kesho umtukane?

OMMY Dimpoz akilia jukwaani baada ya kulemewa na majonzi ya kifo cha Ngwair tarehe 31/05/2013 Tabora. Siku chache baada ya kifo cha Albert Mangwea (Ngwair) kulitokea  sintofahamu baada ya msanii Ommy Dimpoz kushutumiwa na gazeti moja...
Soma Zaidi..

Totenham wawastaajabisha Real Madrid kwa dau la kumuuza Gareth Bale!

Gazeti la michezo lenye ukaribu na kilabu cha Real Madrid leo hii limedai kuwa Mwenyekiti wa Totenham Hotspurs ya jijini London, Uingereza Bw Daniel Levy amewapa bei ya kumnunua mshambuliaji Gareth Bale kuwa ni Euro145 Milioni au kwa maneno...
Soma Zaidi..

Twanga yazindua albam ya 12 na kuadhimisha miaka 15 ya kuzaliwa!

Dansa Mandela akifanya yake jukwaani.  Bendi kongwe ya jijini Dar es Salaam, The African Stars (Twanga pepeta sugu) Kisima cha burudani nchini Tanzania, jana katika viwanja vya leaders club walizindua albam yao ya 12 iendayo kwa...
Soma Zaidi..

Historia yajirudia Miss Kanda ya Kati 2013

Maua Kimambo Karlstrom Miss Tabora namba mbili 2011. Miss Tabora namba mbili Sabrina Juma.  Historia imejirudia tena baada ya warembo wawili wa Redds Miss Tabora 2013 Sabrina Juma na Anastazia Donald kufanikiwa kuingia...
Soma Zaidi..

Washiriki wa Miss Tabora walipotembelea mabaki ya ngome ya Mtemi Isikie mwana Kiyungi!

Huu ulikuwa mlango mkuu wa kuingilia katika ngome ya Mtemi Isike mwana Kiyungi iliyoitwa Isyunula mnamo 1890.Katika kuwajengea uelewa mpana warembo wa Redds Miss Tabora 2013 wikiendi iliyopita walipelekwa Kwihara lilipo tembe la mvumbuzi...
Soma Zaidi..