Twanga yazindua albam ya 12 na kuadhimisha miaka 15 ya kuzaliwa!
Dansa Mandela akifanya yake jukwaani.
Bendi kongwe ya jijini Dar es Salaam, The African Stars (Twanga pepeta sugu) Kisima cha burudani nchini Tanzania, jana katika viwanja vya leaders club walizindua albam yao ya 12 iendayo kwa...
Soma Zaidi..Historia yajirudia Miss Kanda ya Kati 2013
Maua Kimambo Karlstrom Miss Tabora namba mbili 2011.
Miss Tabora namba mbili Sabrina Juma.
Historia imejirudia tena baada ya warembo wawili wa Redds Miss Tabora 2013 Sabrina Juma na Anastazia Donald kufanikiwa kuingia...
Soma Zaidi..Washiriki wa Miss Tabora walipotembelea mabaki ya ngome ya Mtemi Isikie mwana Kiyungi!
Huu ulikuwa mlango mkuu wa kuingilia katika ngome ya Mtemi Isike mwana Kiyungi iliyoitwa Isyunula mnamo 1890.Katika kuwajengea uelewa mpana warembo wa Redds Miss Tabora 2013 wikiendi iliyopita walipelekwa Kwihara lilipo tembe la mvumbuzi...
Soma Zaidi..Warembo wa Redds Miss Tabora 2013 waenda kuzuru tembe la Dr Livingstone
Mzee Hamisi
Kamati ya Redds Miss Tabora 2013 jana iliwapeleka warembo wao katika kijiji cha Kwihara kilometa 12 hivi toka Tabora mjini ambako walizuru tembe la Dr David Livingstone ambaye alikuwa mvumbuzi wa mambo mbali mbali ikiwemo...
Soma Zaidi..Mazoezi ya Redds Miss Tabora 2013 yaendelea!
Redds Miss Tabora 2013" Ni zaidi ya urembo"
Mazoezi ya shindano la kumsaka mrembo wa Redds Miss Tabora 2013 yameendelea tena jana ambapo jumla ya warembo kumi na mbili watashindania taji la Redds Miss Tabora 2013, shindano lililopangwa...
Soma Zaidi..Adam Fundikira alinibebesha mkoba wa kaseti-Hamisi Dakota
Hamisi Dakota
Meneja wa bendi ya Mapacha Watatu Hamisi Dakota alisema Adam Fundikira ambaye ni mmoja wa wakurugenzi wa Club Royal ya Tabora alikuwa ni mtu muhimu sana katika maisha yake akiwa anakua hapa Tabora katika miaka ya thamanini...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)