mkalamatukio

Washiriki wa Miss Tabora walipotembelea mabaki ya ngome ya Mtemi Isikie mwana Kiyungi!

Huu ulikuwa mlango mkuu wa kuingilia katika ngome ya Mtemi Isike mwana Kiyungi iliyoitwa Isyunula mnamo 1890.Katika kuwajengea uelewa mpana warembo wa Redds Miss Tabora 2013 wikiendi iliyopita walipelekwa Kwihara lilipo tembe la mvumbuzi...
Soma Zaidi..

Warembo wa Redds Miss Tabora 2013 waenda kuzuru tembe la Dr Livingstone

Mzee Hamisi  Kamati ya Redds Miss Tabora 2013 jana iliwapeleka warembo wao katika kijiji cha Kwihara kilometa 12 hivi toka Tabora mjini ambako walizuru tembe la Dr David Livingstone ambaye alikuwa mvumbuzi wa mambo mbali mbali ikiwemo...
Soma Zaidi..

Mazoezi ya Redds Miss Tabora 2013 yaendelea!

Redds Miss Tabora 2013" Ni zaidi ya urembo" Mazoezi ya shindano la kumsaka mrembo wa Redds Miss Tabora 2013 yameendelea tena jana ambapo jumla ya warembo kumi na mbili watashindania taji la Redds Miss Tabora 2013, shindano lililopangwa...
Soma Zaidi..

Adam Fundikira alinibebesha mkoba wa kaseti-Hamisi Dakota

Hamisi Dakota Meneja wa bendi ya Mapacha Watatu Hamisi Dakota alisema Adam Fundikira ambaye ni mmoja wa wakurugenzi wa Club Royal ya Tabora alikuwa ni mtu muhimu sana katika maisha yake akiwa anakua hapa Tabora katika miaka ya thamanini...
Soma Zaidi..

Warembo wa Redds Miss Tabora 2013 wakijfua vikali

Najifua mpaka kieleweke Warembo watakaoshiriki shindano la kumtafuta Redds Miss Tabora 2013 litakalofanyika katika ukumbi wa Frankman Palace  mnamo tarehe 31.Mei.2013 wamekuwa wakiendelea na mazoezi makali chini ya mwalimu wao Miss...
Soma Zaidi..

Nina asili ya Tabora! - Ommy Dimpoz!

Msanii anayekuja juu kwa kasi kama moshi wa kifuu Ommy Dimpoz ambaye hivi juzi alihojiwa na kituo maarufu cha redio mkoani Tabora CG fm 89.5, alisema pamoja na kuimba katika wimbo wa wasanii wa Kigoma lakini yeye pia ana asili ya Tabora...
Soma Zaidi..

Ommy Dimpoz athibitisha ku perfom Redds Miss Tabora 2013 kwa kusaini mkataba jijini Barcelona, Spain

Tia saini mwanangu Tabora wanakusubiria kwa hamu Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliye juu kwa sasa Ommy  Dimpoz (kwa poz) ambaye kwa karibu miezi mitatu amekuwa katika bara la Ulaya akifanya maonesho katika nchi tofauti zikiwemo...
Soma Zaidi..