Picha zaidi za semina ya Redds Miss Tanzania!
Kulia ni wakala wa Redds Miss Njombe
Tunachukua notice
Tom Chilala mwenye shati jeupe na Khadija Kalili kushoto kwake
Hidan Ricco na Ephraim Makoye wa kamati ya Miss Tanzania
Kulia ni wakala wa Miss Singida
Baadhi...
Soma Zaidi..Semina ya mawakala wa Redds Miss Tanzania yafanyika
Mkurugenzi wa Lino International inayoratibu shindano la Miss Tanzania Bw Hashim Lungenga akisisitiza jambo alipokuwa akifungua semina ya mawakala wa Miss Tanzania 2014.
Semina ya kuwafunda mawakala wa Redds Miss Tanzania 2014 ilifanyika...
Soma Zaidi..Mpigie kura Ally Baucha ashinde Kili Music Awards!
Msani machachari Ally Baucha ambaye kupitia wimbo wake Kelele aliomshirikisha Ally Kiba ameteuliwa kushiriki katika kinyang'anyro cha kugombea tuzo za Msanii anayechipukia ambapo amepewa namba 23 na vile vile amepewa namba 26 katika...
Soma Zaidi..Mama Agnes Matle Ngula afariki leo asubuhi!
Bibi Agnes Matle Ngula enzi za uhai wake
Aliyekuwa naibu waziri wa fedha Bw Venance Ngula leo hii asubuhi amempoteza mkewe Bibi Agnes Matle Ngula ambaye alikuwa akiugua kwa muda sasa. Mtoto wa kwanza wa marehemu Wali Francis Ngula...
Soma Zaidi..Shabiki wa Liverpooll auawa kwa kumkejeli shabiki wa Arsenal!
Raha iliyoje 5-1????
Shabiki wa miaka mingi wa Liverpool Anthony Mutheiya alikufa muda mfupi baada ya firimbi ya mwisho katika mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Arsenal jumamosi iliyopita baada ya kuchomwa kwa kisu na shabiki wa Arsenal...
Soma Zaidi..Obama na Beyonce wazushiwa jambo!
Mtandao wa dailystar.co.uk wa nchini Uingereza ambao ni maarufu kwa habari za kidaku, leo hii umechapisha habari ilizodaiwa na mwandishi wa habari Mfaransa Paschal Rostain kuwa gazeti linaloheshimika nchini Marekani la Washinton Post linatarajiwa...
Soma Zaidi..Kwani timu yako ikifungwa goli tano lazima uanguke?
Baada ya timu ya Arsenal (The Gunners) jana kupokea kipigo kikali kilichoendana na maumivu makali cha goli 5-1 toka kwa timu ya Liverpool (Bwawa la maini) aka (Liverfools) kocha Arsene Wenger aliteleza na kuanguka nje ya stesheni ya treni...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)