Washiriki wa Miss TPSC Tabora watembelea Cg fm
Nice Mbelwa(Meneja vipindi)akiwatambulisha washiriki wa Miss TPSC 2013 kwa mhariri wa habari wa Cg fm 89.5 Bw Titus Filipo.
Washiriki wa shindano la Miss TPSC 2013 jana walitembelea kituo cha redio cha CG fm 89.5 ambapo walioneshwa...
Soma Zaidi..MSANII: ALLY NIPISHE amepania kuwaona live mashabiki wake wa Tabora
MSANII: ALLY NIPISHE
Msanii wa kizazi kipya anayetamba na vibao kama Ntalila, Nipulika, Daima na milele, Binadam (aliyoimba na AT) na kibao kikali kinachotamba hivi sasa cha MY amepania kuwaona live mashabiki wake wa Tabora huku akimtafuta...
Soma Zaidi..Shinji Kagawa acheza na moto Old Trafford
Moyes akiwa na Shinji Kagawa ziarani Japan kiangazi hiki.
Mshambuliaji mchezeshaji wa ki Japan anayechezea kilabu cha Man United Shinji Kagawa ameeleza kuchukizwa kwake na kutopangwa na David Moyes katika kikosi cha kwanza cha Man United...
Soma Zaidi..Wachezaji nguli wa soka wahoji kutochezeshwa Carrick jana
Michael Carrick Pass master!
Wachezaji nguli wa soka wa zamani wakiongozwa na Gary Linneker jana walihoji ni vipi mcheza wa daraja la juu kiungo wa Man United hakupangwa katika mechi ya Ukrayne dhidi ya England pamoja na England kuonesha...
Soma Zaidi..Kula panya na zabibu kavu kwamnusuru kifo baada ya kukaa njaa miezi minne!
Raul Fernando Gomez (58) aliyepotea kwa miezi minne akiwa katika safari ya kutembea kwa miguu katika milima huko nchini Uruguay Amerika ya kusini akitokea nchini Chile aliokolewa jumapili na kundi la wa Argentina waliofika katika eneo hilo...
Soma Zaidi..Breaking news! Jaji wa Redds Miss Tabora afariki asubuhi hii!
Marehemu Terry Mbaika siku ya shindano la Redds Miss Tabora 2013
Aliyekuwa jaji katika shindano la Redds Miss Tabora 2013 Miss Terry Mbaika (pichani kushoto) amefariki leo hii asubuhi katika hospitali ya Jeshi ya Mirambo mjini Tabora....
Soma Zaidi..Azam yailaza Rhino Fc!
Timu ya Azam Fc ya jijini Dar es Salaam leo hii imeilaza timu ya Rhino Rangers ya mjini Tabora kwa goli 2 kwa sifuri kwa magoli ya Gaudence Mwaikimba kwa shuti kali lililopita kulia mwa lango la kipa wa Rhino Fc mnamo dakika ya 56,baada ya...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)