Wachezaji nguli wa soka wahoji kutochezeshwa Carrick jana
Michael Carrick Pass master!
Wachezaji nguli wa soka wa zamani wakiongozwa na Gary Linneker jana walihoji ni vipi mcheza wa daraja la juu kiungo wa Man United hakupangwa katika mechi ya Ukrayne dhidi ya England pamoja na England kuonesha...
Soma Zaidi..Kula panya na zabibu kavu kwamnusuru kifo baada ya kukaa njaa miezi minne!
Raul Fernando Gomez (58) aliyepotea kwa miezi minne akiwa katika safari ya kutembea kwa miguu katika milima huko nchini Uruguay Amerika ya kusini akitokea nchini Chile aliokolewa jumapili na kundi la wa Argentina waliofika katika eneo hilo...
Soma Zaidi..Breaking news! Jaji wa Redds Miss Tabora afariki asubuhi hii!
Marehemu Terry Mbaika siku ya shindano la Redds Miss Tabora 2013
Aliyekuwa jaji katika shindano la Redds Miss Tabora 2013 Miss Terry Mbaika (pichani kushoto) amefariki leo hii asubuhi katika hospitali ya Jeshi ya Mirambo mjini Tabora....
Soma Zaidi..Azam yailaza Rhino Fc!
Timu ya Azam Fc ya jijini Dar es Salaam leo hii imeilaza timu ya Rhino Rangers ya mjini Tabora kwa goli 2 kwa sifuri kwa magoli ya Gaudence Mwaikimba kwa shuti kali lililopita kulia mwa lango la kipa wa Rhino Fc mnamo dakika ya 56,baada ya...
Soma Zaidi..Utamliliaje mtu leo, kesho umtukane?
OMMY Dimpoz akilia jukwaani baada ya kulemewa na majonzi ya kifo cha Ngwair tarehe 31/05/2013 Tabora.
Siku chache baada ya kifo cha Albert Mangwea (Ngwair) kulitokea sintofahamu baada ya msanii Ommy Dimpoz kushutumiwa na gazeti moja...
Soma Zaidi..Totenham wawastaajabisha Real Madrid kwa dau la kumuuza Gareth Bale!
Gazeti la michezo lenye ukaribu na kilabu cha Real Madrid leo hii limedai kuwa Mwenyekiti wa Totenham Hotspurs ya jijini London, Uingereza Bw Daniel Levy amewapa bei ya kumnunua mshambuliaji Gareth Bale kuwa ni Euro145 Milioni au kwa maneno...
Soma Zaidi..Twanga yazindua albam ya 12 na kuadhimisha miaka 15 ya kuzaliwa!
Dansa Mandela akifanya yake jukwaani.
Bendi kongwe ya jijini Dar es Salaam, The African Stars (Twanga pepeta sugu) Kisima cha burudani nchini Tanzania, jana katika viwanja vya leaders club walizindua albam yao ya 12 iendayo kwa...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)