Playstation mpya inauzwa!
Playstation mpya XBOX 360 60gb nyeupe ina controller 1, inauzwa, ipo katika box lake, atakayenunua atapata game moja buure! kwa bei na maelezo zaidi mpigie simu Alvin 0687232973....
Soma Zaidi..Dayna amtunza shabiki buku kumi!
Dyna na patna wake wa stejini.
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flava Dyna, wikiendi iliyopita alitoa mpya pale alipoamua kumtunza kijana mmoja ambaye yeye Dyna alimwita stejini ili asaidiane naye kuimba wimbo alioimba na Marlow...
Soma Zaidi..Chura Fashion Tabora inatisha ki noma!
Kwa nje Chura Fashion
Chura
Fashion ni duka la nguo za kike na kiume, viatu na mazaga zaga kibao
mjini Tabora. duka hilo ambalo lina section mbili yaaniya kike na kiume
halina mfano mjini Tabora. Hasa katika kipindihiki weekend inakaribia...
Soma Zaidi..Kitale, Dyna na Kala Jeremaya wapagawisha Tabora
Kala Jeremaya mwingine!
Kala Jeremaya akiwarusha wapenzi wake katika ukumbi wa Royal Garden
Msanii wa vichekesho na muziki Kitale akifanya vitu vyake jukwaani Royal Garden Tabora.
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya...
Soma Zaidi..Shindano la Miss Tanzania lazinduliwa rasmi jana
Miss Tabora 2013 Sarah Paul (in blue)akiwa na warembo wengine jana
Shindano la Miss Tanzania 2013 lilizinduliwa rasmi jana usiku katika hoteli ya Serena (Moven Pick) ambapo kamati ya Miss Tanzania ikishirikiana na mdhamni mkuu wa shindano...
Soma Zaidi..Gari inauzwa!
Toyota Rav 4 inauzwa: 2002 Model, 14,000 Milleage,1998Cc, Full ac, cd radio, Leather seats, Sun roof. For more details please inbox me on facebook or call 07546666...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)