| Kala Jeremaya mwingine! |
| Kala Jeremaya akiwarusha wapenzi wake katika ukumbi wa Royal Garden |
| Msanii wa vichekesho na muziki Kitale akifanya vitu vyake jukwaani Royal Garden Tabora. |
| Baadhi ya washabiki wa Kitale wakifurahia show |
| Dyna akiwa na mshabiki mmoja aliyemwita jukwaani kuimba naye |
| Mziki kunoga! |


