mkalamatukio

Tabora Wanufaika na Mafunzo ya ULINGO – Tanzania Women Crossparty Platform (TWCP)

ULINGO WA WANAWAKE WANASIASA – Tanzania Women Crossparty Platform (TWCP) ni shirika lisilo la kiserikali lililoendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo watia nia wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu katika nyadhifa mbalimbali za uongozi wa...
Soma Zaidi..

Wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM Tabora mjini wajinadi Itetemia!

Mh Aden Rageh kushoto na Bandora Mirambo wakifuatilia mkutano. Makada wa CCM Wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM Tabora mjini leo hii mchana walijinadi kwa wapiga kura wao wa kata ya Itetemia, ambao wakiungana na wengine...
Soma Zaidi..

Tabora Stand Up; Eid Mosi Wasanii Wafurika Hapatoshi.

Shangwe na burudani za kutosha zinatarajiwa kufanyika katika sikukuu ya Eid hapo kesho mkoani Tabora panapo majaaliwa ya M/Mungu. Mashabiki mbalimbali mjini Tabora watarajiwa kufurahia onesho hilo katika maeneo mawili tofauti ambapo...
Soma Zaidi..

Bandora Mirambo alipochukua fomu ya ubunge wa Tabora mjini mapema leo.

Bandora Salum Mirambo akionesha fomu yake ya ubunge kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi Mama Hidaya Rashid Amani katibu msaidizi wilaya akimuandikia risiti Bw Bandora. Bandora Mirambo akitia sahihi katika kitabu cha kuchukulia...
Soma Zaidi..