Tabora Stand Up; Eid Mosi Wasanii Wafurika Hapatoshi.
Shangwe na burudani za kutosha zinatarajiwa kufanyika katika sikukuu ya Eid hapo kesho mkoani Tabora panapo majaaliwa ya M/Mungu. Mashabiki mbalimbali mjini Tabora watarajiwa kufurahia onesho hilo katika maeneo mawili tofauti ambapo...
Soma Zaidi..Bandora Mirambo alipochukua fomu ya ubunge wa Tabora mjini mapema leo.
Bandora Salum Mirambo akionesha fomu yake ya ubunge kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi
Mama Hidaya Rashid Amani katibu msaidizi wilaya akimuandikia risiti Bw Bandora.
Bandora Mirambo akitia sahihi katika kitabu cha kuchukulia...
Soma Zaidi..Binti wa Michuzi Ajitoa Kimasomaso; Achukua Form ya Ubunge wa Viti Maalum
Zahara Michuzi alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana.
Zahara Michuzi ni binti wa Issa Michuzi blogger na mpiga picha hodari wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Soma Zaidi..VYUO VYATAKIWA KUTOA ELIMU KULINGANA NA MAHITAJI YA AJIRA HAPA NCHINI
Na Woinde
Shizza,Arusha
VIJANA wengi wanaohitimu vyuo
hawapati kazi mara tu ya kuhitimu
masomo yao kutokana na kutokuwepo kwa vyanzo vya ajira vinavyokwenda
sambamba na ongezeko la wahitimu na kuchangia kuwepo kwa wimbi...
Soma Zaidi..Bandora uso kwa uso na Mh Aden Rageh ubunge Tabora mjini!
Bandora Salum Mirambo akiwasilia katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora mjini
Wagombea ubunge wa jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh Aden Rageh na Bandora Mirambo leo
hii...
Soma Zaidi..Kauli ya Sergio Ramos kuiambia Real Madrid anataka kujiunga na Manchester United yawakuna wengi!
Mlinzi mahiri wa kilabu cha Real Madrid Sergio Ramos amuambia uongozi wa kilabu hicho nguli kuwa anataka kujiunga na Manchester United na si vinginevyo kitendo hicho kimewapendeza mashabiki wengi wa soka hasa nchini England ambao wanaichukulia...
Soma Zaidi..Wana jumuiya ya Kinondoni kuteua viongozi baada ya mfungo wa Ramadhani!
Wanajumuiya wa kikundi cha Kinondoni wakibadilishana mawazo baada ya mazishi ya marehemu George Nganda
Mratibu wa kikundi cha wana Kinondoni Bw Ivan Minja amesema kikundi hicho kitateua vingozi wa muda katika kikao kitakachofanyika...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)