Wana jumuiya ya Kinondoni kuteua viongozi baada ya mfungo wa Ramadhani!
Wanajumuiya wa kikundi cha Kinondoni wakibadilishana mawazo baada ya mazishi ya marehemu George Nganda
Mratibu wa kikundi cha wana Kinondoni Bw Ivan Minja amesema kikundi hicho kitateua vingozi wa muda katika kikao kitakachofanyika...
Soma Zaidi..Picha mbali mbali katika mazishi ya George Nganda!
Toka kushoto ni Dada July Kitundu, Dada Rita na Mama Desouza
Majonzi yatawala makaburini!
Kamanda wa CCM tawi la Kinondoni Bwawani Bw Steve Nyerere kulia akiwa na wadau wengine
Msanii Hard Mad naye alihudhuria mazishi
Wadau...
Soma Zaidi..Hatimaye George Nganda azikwa na mamia ya watu!
Mama wa marehemu(mwenye nguo nyeupe)
Kijana George Nganda aliyefariki majuzi kuamkia juzi hatimaye leo hii majira ya saa 9 mchana alipumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makaburi ya Kinondoni Fm. Mazishi hayo...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)