mkalamatukio

Hatimaye George Nganda azikwa na mamia ya watu!

Mama wa marehemu(mwenye nguo nyeupe) Kijana George Nganda aliyefariki majuzi kuamkia juzi hatimaye leo hii majira ya saa 9 mchana alipumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makaburi ya Kinondoni Fm. Mazishi hayo...
Soma Zaidi..

WANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Kaimu Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kwenye semina ya siku moja kuhusu magonjwa yasiyoambukiza. Kulia ni...
Soma Zaidi..

George Nganda afariki dunia!

George Nganda (38) mkazi na mzaliwa wa Kinondoni B Mtaa wa Isere alifariki dunia juzi usiku kuamkia jana baada ya kuugua mapafu. Akiongea na mtandao huu Bw Ivan Minja ratibu wa Kundi la wakazi na waliokuwa wakazi wa Kinondoni ameeleza...
Soma Zaidi..

Fastjet yafadhili ziara ya waandishi wa habari wa Tanzania nchini Zimbabwe

Pichani ni Mhudumu wa Mapango ya Chinhoyi Cephas Sithole akitoa maelezo kwa timu ya waandishi wa habari waliombatana na wadau wa utalii kutoka nchini Afrika Kusini kwenye ziara hiyo ya kutembelea vivutio vya utalii nchini Zimbabwe katika...
Soma Zaidi..