Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni huru na haki kwa yeyote kugombea asema Mh Samuel Sitta!
Moja ya kikundi cha ngoma za kimila cha Waswezi wakimsikiliza Mh Samuel Sitta.
Mh Samuel John Sitta ambaye ni mjukuu wa aliyekuwa Mtemi wa himaya ya Unyanyembe Mtemi Said (Swetu) Fundikira aliyetawala kuanzia mwaka 1917 mpaka mwaka...
Soma Zaidi..Mheshimiwa Sitta ajiweka mbali na lawama za wivu wa uwaziri mkuu!
Mh Samuel Sitta akitangaza nia leo mchana Itetemia Tabora
Mheshimiwa Samuel Sitta leo hii alitangaza rasmi nia yake kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Alitangaza nia yake hiyo mbele ya mamia ya wakazi wa kata ya Itetemia,...
Soma Zaidi..Mh Samuel Sitta apewa cheo cha Mwizukulu Mkulu (Mjukuu mkubwa) wa Utemi wa Unyanyembe!
Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira akiwatambikia Mh Magreth Sitta na Mh Samuel Sitta ambaye ni binamu yake kabla hajatangaza nia ya kugombea urais.Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira leo hii asubuhi alimpa cheo cha...
Soma Zaidi..Maandalizi ya hafla ya Mh Samuel Sitta kutangaza nia ya kugombea urais yaiva!
Baadhi ya waandishi wa vyombo mbali mbali vya habari wa mkoani Tabora na wa nje ya mkoa wakiwasili ItetemiaHatimaye Mh Samuel Sitta leo atatangaza nia kijijini kwao Itetemia ambako atatambikiwa kimila na kupewa cheo cha Mwizukulu mkulu...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)