NAIBU KAMANDA WA UCCM WILAYA YA MOSHI VIJIJINI INNOCENT MELLECK ATOA MSAADA WA KITI CHA WALEMAVU CHA BAISKELI KWA MTOTO FELISTA SHIRIMA
Melleck alikabidhi kiti cha walemavu cha magurudumu kwa mtoto Felista kwa ajili ya kusaidia wakati wa kwenda shuleni.
Mama mzazi wa mtoto Felista Shirima akieleza
kwa uchungu namna ambavyo mtoto wake alivyopata ulemavu wa
kudumu.
Babu...
Soma Zaidi..MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CHADEMA ,JAFARY MICHAEL AFUNGUA MATAWI MAPYA MOSHI
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema na meya
wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa
tawi katika kata ya Longuo mjini Moshi.
Ofisi mpya ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) kata ya Longuo...
Soma Zaidi..UNFPA WAKABIDHI MSAADA WA GARI LA WAGONJWA, JENGO NA VIFAA VYA UPASUAJI GEITA
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa (wa pili kulia) akisalimiana na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)