mkalamatukio

Promota wa Lennox Lewis aamua kuwa mwanamke!

Frank Maloney akishangilia ushindi wa Lenox Lewis Frank Maloney(61) promota maarufu wa ndondi wa zamani ambaye amewahi kuwa promota wa bingwa wa zamani wa uzito wa Juu Lennox Lewis ameamua kujibadili kuwa mwanamke na Kujiita...
Soma Zaidi..

Over pass yaporomoka na kuua watu wawili Brazil!

Barabara  mpya ya juu (over pass) iliyokuwa ikijengwa mjini Belo Horizonte nchini Brazil iliporomoka jana (Alhamisi) na kuanguakia malori matatu, gari dogo na basi la kusafirishia abiria na kusababisha vifo vya watu wawili na majeruhi...
Soma Zaidi..

HAWA NDIYO WAREMBO WA REDDS MISS KANDA YA KATI 2014 [DODOMA]

Washindi watatu bora wa mashindano ya REDDS MISS KANDA YA KATI 2014, Mshindi akiwa ni Dorice Mole (katikati) akitokea mkoa wa singida, wa pili ni Zenna Motte (kushoto) akitokea Tabora katika Chuo Kikuu cha SAUT-TABORA na wa tatu ni Adelaide...
Soma Zaidi..

Vazi la ubunifu Miss Dar Indian Ocean

Vazi hili lilitia fora katika mavazi yote ya ubunifu Miss Shamila Warembo wa Miss Dar Indian Ocean wakionesha vazi la ubunifu siku ya kilele cha shindano hilo Miss Sophia Miss Mary Shila Miss Mary Shila Miss...
Soma Zaidi..

Opening show ya Miss Dar Miss Indian Ocean ilivyoenda!

Washiriki wa Miss Dar Indian Ocean wakicheza  mziki wa kufungulia shindano Mshiriki Miss Mary Shila alitia fora kwa uchezaji wake mziki kwa umahiri. Suzannah Sawaya akinengua Miss Camilla John Mariam Salum akicheza opening...
Soma Zaidi..

Camilla John aibuka mshindi Redds Miss Dar Indian Ocean!

Miss Camilla John ndiye Redds Miss Dar Indian Ocean Top 3, Miss Dar Indian Ocean Camilla John akiwa na Mary Shila kulia na Getrude Massawe Top 5, toka kushoto Marim Salum, Mary Shila, Camilla John, Getrude Massawe na Hasnat Hussein Muandaaji...
Soma Zaidi..

Leo ndio leo Malkia wa Miss Dar Indian Ocean kupatikana leo!

 Warembo wa Miss Dar Indian Ocean jana walitembelea Club Billicanas kujinadi kwa mara ya mwisho ambapo leo watachuana vikali kuwania taji la Miss Dar Indian Ocean. Shindano hilo litafanyika leo usiku kuanzia saa 2 katika viwanja vya...
Soma Zaidi..