![]() |
| Miss Camilla John ndiye Redds Miss Dar Indian Ocean |
![]() |
| Top 3, Miss Dar Indian Ocean Camilla John akiwa na Mary Shila kulia na Getrude Massawe |
![]() |
| Top 5, toka kushoto Marim Salum, Mary Shila, Camilla John, Getrude Massawe na Hasnat Hussein |
![]() |
| Muandaaji wa Redds Miss Dar Indian Ocean Bibi Rahma Yusuph na mgeni rasmi Mh Abass Tarimba |
![]() |
| Mkuu wa itifaki wa kamati ya Miss Tanzania Bw Albert Makoye akimkaribisha mgeni rasmi Bw Abass Tarimba afungue hafla rasmi. |
![]() |
| Bw Abass Tarimba(MGENI RASMI) mkurugenzi wa Bahati nasibu ya taifa |
![]() |
| Boy George akiwa na mdhamini CXC Africa Bw Charles Hamka wakijadili jambo fulani jana. |
![]() |
| Majaji wa Miss Dar Indian Ocean wakifuatilia mwenendo wa shiondano hilo jana |
![]() |
| Majaji wakitazama kwa makini moja washiriki akipita jukwaani toka kushoto Innocent Melleck, James Kissaka na Hassan Ally. |











