Washiriki wa Miss Dar Indian Ocean wajichua vikali kuelekea kilele cha shindano hilo!
Shamila Yusuf
Tazama picha za washiriki wa shindano la urimbwende la Miss Dar Indian Ocean 2014 wakiwa katika mazoezi ya mwisho kabla ya kilele cha shindano hilo jumamosi hii ya tarehe 7/6/2014 katika viwanja vya Nyumbani Lounge ambako...
Soma Zaidi..Miss Dar Indian Ocean patakuwa hapatoshi!
Muandaaji wa Miss Dar Indian Ocean Bibi Rahama Yusuph
Baada ya kufanya shindano la vipaji kwa mafanikio makubwa mnamo tarehe 23/5/2014 ambapo washiriki watano waliiingia fainali, sasa shindano la Miss Dar Indian Ocean litafanyika jumamosi...
Soma Zaidi..Baadhi ya wageni waliohudhuria shindano la vipaji Miss Dar Indian Ocean!
Mfanyabiashara Teef Fundikira akiteta kitu na Mkurugenzi wa kampuni ya Aset Bibi Asha Baraka.
Mdau wa tasnia ya urembo Bi Hawa Mkamba(kulia) akiwa na rafiki yake.
Kutoka kushoto Asha Baraka, Mkurugenzi wa Lino International inayoandaa...
Soma Zaidi..Wajue top five wa vipaji Miss Dar Indian Ocean!
Shindano la urembo la Miss Dar Indian Ocean likiwa linakaribia, siku ya ijumaa tarehe 23/5/2014 wapenzi wa tasnia ya urembo jijini Dar na wilaya zake walishuhudia mchuano mkali wa kugombea ushindi wa kipaji katika ukumbi wa Chichi...
Soma Zaidi..Picha zaidi za semina ya Redds Miss Tanzania!
Kulia ni wakala wa Redds Miss Njombe
Tunachukua notice
Tom Chilala mwenye shati jeupe na Khadija Kalili kushoto kwake
Hidan Ricco na Ephraim Makoye wa kamati ya Miss Tanzania
Kulia ni wakala wa Miss Singida
Baadhi...
Soma Zaidi..Semina ya mawakala wa Redds Miss Tanzania yafanyika
Mkurugenzi wa Lino International inayoratibu shindano la Miss Tanzania Bw Hashim Lungenga akisisitiza jambo alipokuwa akifungua semina ya mawakala wa Miss Tanzania 2014.
Semina ya kuwafunda mawakala wa Redds Miss Tanzania 2014 ilifanyika...
Soma Zaidi..Mpigie kura Ally Baucha ashinde Kili Music Awards!
Msani machachari Ally Baucha ambaye kupitia wimbo wake Kelele aliomshirikisha Ally Kiba ameteuliwa kushiriki katika kinyang'anyro cha kugombea tuzo za Msanii anayechipukia ambapo amepewa namba 23 na vile vile amepewa namba 26 katika...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)