Hali ya hewa ilivyotesa Huko kaskazini mashariki mwa Marekani wikiendi iliyopita!
Gari dogo likiwa imeacha barabara baada ya theluji nyingi kudondoka na kupelekea dereva wa gari hilo kupoteza mwelekeo na kutumbukia pembezoni mwa barabara(Free way)
Wikiendi iliyopita ilikuwa ni ya heka heka kubwa katika miji iliyo Kaskakazini...
Soma Zaidi..Shujaa wangu Nelson Mandela!
Nelson Rolihlala Mandela, the man must have come from another planet, after his release from Roben Island prison, he suprised the whole world for urging fellow black South Africans to forgive and forget for all the oppression they suffered...
Soma Zaidi..Roy Keane amshambulia vikali Ferguson!
Nyakati za furaha:Sir Alex na nahodha wa zamani wa Man united Roy Keane wakibeba juu moja ya makombe ya EPL waliyoyashinda pamoja
Katika hali isiyoshangaza wengi Roy Keane amemshambulia kocha wake wa zamani Sir Alex Ferguson kuwa anapenda...
Soma Zaidi..Arsene Wenger/Alex Ferguson na David Moyes waenda Xmas shopping pamoja!
Huyu bwana kushoto mwa picha anajiuliza ninaowaona ndio wenyewe ama?
Je inaweza ikawa kweli, kuwa Arsene Wenger, David Moyes na Sir Alex Ferguson wakaenda shopping pamoja?
Jana waenda shopping ya Christmas nchini Uingereza waliweza...
Soma Zaidi..Mpiga mbizi shujaa amkaribia Papa!
Wapiga mbizi Vincent Canabal na Daniel Botelho walihatarisha maisha yao ili kumkaribia papa hatari katika pwani ya visiwa vya Bahama huko Marekani katika fukwe za Tiger ambapo Vincent alikuwa akimlisha chakula cha mbwa, papa huyo...
Soma Zaidi..Tom Daley asema yeye ni shoga!
Tom Daley(20)akionesha medali yake
Tom Daley Akiwa mchezoni
Mruka majini bingwa wa medali 2 za Olimpiki Muingereza Tom Daley(20) juzi alichukua uamuzi wa kujitangaza hadharani kupitia mtandao wa YUOTUBE kuwa yeye ni shoga. Kijana huyo...
Soma Zaidi..Mfanyakazi wa SWISSPORT Dar es Salaam afariki ghafla!
Salustian Boniface Clement alizaliwa 07/4/1962 na kufariki 29/11/2013.
Familia ya Salustian inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Bw Salustian Clement kilichotokea ghafla siku ya Ijumaa jijini Dar es Salaam. Taarifa za msiba huu...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)