Ilikuwa balaaaa!
Keyboy na Dj maarufu Ommy Composer
Siku ya Alhamisi tarehe ya tarehe 2/04/2013 bendi maarufu ya Mapacha Watatu ilitumbuiza mjini Tabora katika ukumbi wa Frankman Palace ambapo mambo mengi yalijiri ikiwemo vituko hebu jionee mwenyewe!...
Soma Zaidi..Mapacha watatu wazindua albam Tabora!
UZINDUZI; Chokoraa kushoto na Jose Mara wakizindua album mpya katika ukumbi wa Frankman, Tabora.
Bendi ya Mapacha watatu usiku wa alhamisi katika ukumbi wa Frankman Place mijini Tabora, walizindua album yao mpya iendayo kwa jina la Yarabi...
Soma Zaidi..Siku Mapacha watatu walipovamia Tabora!
Bendi machachari ya Mapacha watatu toka jijini Da re Salaam ilifanya onesho kabambe mjini Tabora katika ukumbi wa Frankman Palace usiku wa alhamisi. Bendi hiyo ikiwa china ya mkurugenzi wake Jose Mara(Mzee wa Kimara) na rapa machachari...
Soma Zaidi..Msiba Uhazili! Tabora
Marehemu: Mariam Jumanne Tandala
Uongozi wa chuo cha UHAZILI tawi la Tabora unasikitika kutangaza kifo cha mwanachuo wake ajulikanaye kwa jina Mariam Jumanne Tandala (30) kilichotokea alfajiri ya ya leo katika hospitali ya Kitete, mipamngo...
Soma Zaidi..Afisa utamaduni Tabora azindua Redss Miss Tabora 2013 rasmi!
Afisa Utamaduni wilaya ya Tabora Bw Katunzi akisisitiza jambo
Shindano la kumsaka mrembo wa Redds Miss Tabora 2013 jana lilizinduliwa rasmi na Afisa Utamaduni wa wilaya ya Tabora Bw Katunzi katika ukumbi wa Frankman Palace ambapo jumla...
Soma Zaidi..Jon Myuzik avamia Tabora!
Msanii Jon Myusik aki pose!
Kushoto; Mkala, Pili Issa, Jon Myuzik na Danny Kijumbe at Las Vegas pub Tabora
Msanii wa muziki wa kizazi kipya John Myuzik ambaye anatamba na track yake mpya "TONIGHT" yupo Tabora kwa masuala ya ki familia,...
Soma Zaidi..Playstation mpya inauzwa!
Playstation mpya XBOX 360 60gb nyeupe ina controller 1, inauzwa, ipo katika box lake, atakayenunua atapata game moja buure! kwa bei na maelezo zaidi mpigie simu Alvin 0687232973....
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)