Unaweza kumtambua Nassor Wazambi katika picha hii?
Mawakala wa Miss Tanzania katika semina wiki iliyopita
Picha hii ilichukuliwa siku ya semina ya mawakala wa Miss Tanzania, iliyofanyika katika hoteli ya Girraffe pembezoni mwa bahari ya hindi jijini Dar. Je unaweza kumtambua mwakilishi...
Soma Zaidi..Wazambi kuwakilisha kamati ya Miss Tabora katika semina ya Miss Tanzania
Nassor Wazambi
Mjumbe wa kamati ya Miss Tabora Bw Nassor Wazambi
ameteuliwa kuhudhuria semina ya mawakala wa Miss Tanzania itakayofanyika nje kidogo ya jiji la Dar katika hoteli ya kitalli ya Girraffe Hotel iliyopo kando kando ya...
Soma Zaidi..Picha zaidi za Miss Tabora
Opening show
PILI
MERINA DUGO
MWAJUMA
KOROBATIKI ZATUNI
DALILAH
CECILIA
FLORA MICHAEL
MAUA KIMAMBO
BEKA KAZINI
MISS TABORA NA MAUA KIMAMBO
KOROBATIKI ZAITUNI PETE...
Soma Zaidi..Washindi watatu watakaoiwakilisha Tabora katika shindano la kanda ya kati
MAUA KIMAMBO-Musoma utalli college
DALILAH GHARIB- Chuo cha utumishi wa Umma
Toka kushoto Florah, Maua, Cecilia na Dalilah Gharib katika vazi la ufukweni...
Soma Zaidi..Miss Tabora hatua kwa hatua mshiriki baada ya mshiriki, the enjoy pictures
Pili vazi la ubunifu
Merina Duga vazi la ubunifu
Mwajuma vazi la ubunifu
Zaituni Peter vazi la ubunifu
Dalilah Gharib vazi la ubunifu.
Cecilia John vazi la jioni.
Maua Kimambo vazi la ubunifu
Flora John vazi la uvubunifu.
Mdau...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)