mkalamatukio

HARAKATI ZA KUANZISHWA KWA KARIAKOO FAMILY FOUNDATION (KFF)

 Mwenyekiti wa Kariakoo Family Foundation (KFF) Mohamed Bhinda akiongoza kikao cha Kamati ya Utendaji katika kuandaa rasimu ya katiba ya chama hicho kinachotarajiwa kusajiliwa  hivi karibuni kama taasisi isiyo ya kiserikali kwa...
Soma Zaidi..

Ijue historia ya Linda

NI MENGI AMEZUNGUMUZA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUKUYAJUA Kesho Jumatatu katika kipindi cha huyu na yule cha mahojiano na mwanamitindo mbunifu wa LB kutoka Atlanta, Georgia atakapoelezea historia yake yenye milima na mabonde historia ya...
Soma Zaidi..

Balozi wa IMETOSHA FOUNDATION Henry Mdimu atoa wito kwa vyombo vya habari na jamii!

Balozi Henry Mdimu akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za gazeti la Mwananchi mjini Mwanza. Henry Mdimu ametoa wito kwa vyombo vya habari na jamii nchini kulichukua suala la ukatili na mauaji kwa watu wenye ualbino kama lao...
Soma Zaidi..

Ujumbe mzito wa Imetosha watembelea kituo cha Buhangija mjini Shinyanga!

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...
Soma Zaidi..

EPUSHA AJALI OKOA MAISHA!

Ujumbe wa Imetosha Foundation wawasili Mwanza!

Salome Gregory akifuatiwa na Balozi Mdimu na Issaya Mwakilasa wakiteremka toka katika ndege iliyowasafirisha toka Dar mpaka Mwanza. Picha ya kumbukumbu toka kushoto ni Issaya Wakuvwanga, Zaytuni Biboze, Salome Gregory, Henry...
Soma Zaidi..

Kamati ya imetosha yatuma ujumbe mzito kanda ya ziwa!

Balozi Henry Mdimu akiongea na vyombo vya habari Taasisi isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu, inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa...
Soma Zaidi..