Ijue historia ya Linda
NI MENGI AMEZUNGUMUZA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUKUYAJUA
Kesho Jumatatu katika kipindi cha huyu na yule cha mahojiano na mwanamitindo mbunifu wa LB kutoka Atlanta, Georgia atakapoelezea historia yake yenye milima na mabonde historia ya...
Soma Zaidi..Balozi wa IMETOSHA FOUNDATION Henry Mdimu atoa wito kwa vyombo vya habari na jamii!
Balozi Henry Mdimu akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za gazeti la Mwananchi mjini Mwanza.
Henry Mdimu ametoa wito kwa vyombo vya habari na jamii nchini kulichukua suala la ukatili na mauaji kwa watu wenye ualbino kama lao...
Soma Zaidi..Ujumbe mzito wa Imetosha watembelea kituo cha Buhangija mjini Shinyanga!
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
...
Soma Zaidi..Ujumbe wa Imetosha Foundation wawasili Mwanza!
Salome Gregory akifuatiwa na Balozi Mdimu na Issaya Mwakilasa wakiteremka toka katika ndege iliyowasafirisha toka Dar mpaka Mwanza.
Picha ya kumbukumbu toka kushoto ni Issaya Wakuvwanga, Zaytuni Biboze, Salome Gregory, Henry...
Soma Zaidi..Kamati ya imetosha yatuma ujumbe mzito kanda ya ziwa!
Balozi Henry Mdimu akiongea na vyombo vya habari
Taasisi isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu, inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa...
Soma Zaidi..WANAFUNZI WA CARMAN AINSWORTH HIGH SCHOOL WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
Wanafunzi wa Carman Ainsworth High School iliyopo Michigan watembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC, na kupata fursa ya kuonana na Mhe balozi Liberata Mulamula.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza kwa makini Mhe, balozi Leberata...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)