mkalamatukio

Ujumbe mzito wa Imetosha watembelea kituo cha Buhangija mjini Shinyanga!

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...
Soma Zaidi..

EPUSHA AJALI OKOA MAISHA!

Ujumbe wa Imetosha Foundation wawasili Mwanza!

Salome Gregory akifuatiwa na Balozi Mdimu na Issaya Mwakilasa wakiteremka toka katika ndege iliyowasafirisha toka Dar mpaka Mwanza. Picha ya kumbukumbu toka kushoto ni Issaya Wakuvwanga, Zaytuni Biboze, Salome Gregory, Henry...
Soma Zaidi..

Kamati ya imetosha yatuma ujumbe mzito kanda ya ziwa!

Balozi Henry Mdimu akiongea na vyombo vya habari Taasisi isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu, inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa...
Soma Zaidi..

WANAFUNZI WA CARMAN AINSWORTH HIGH SCHOOL WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.

 Wanafunzi wa Carman Ainsworth High School iliyopo Michigan watembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC, na kupata fursa ya kuonana na Mhe balozi Liberata Mulamula. Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza kwa makini Mhe, balozi Leberata...
Soma Zaidi..

Siku Mh Al Shaymaar Kweigir alipoweka uheshimiwa pembeni na kusema IMETOSHA!

Mh Al Shaymaar akicheza wimbo wa Imetosha na balozi Mdimu pamoja na  baadhi ya watu waliohudhuria matembezi ya uhamasishaji wimbo huo uliimbwa na msanii wa reggae Jhikoman Manyika  . Siku ya matembezi ya uhamasishaji dhidi ya...
Soma Zaidi..