Winga Adam Johnson atuhumiwa kubaka binti mdogo!
Mchezaji wa kiungo wa kilabu cha Sunderland Adam Johnson amesimamishwa na kilabu chake baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kujamiiana na msicha mwenye umri wa miaka (15).
Winga huyo mwenye miaka (27) anasadikika kupokea pauni 50,000...
Soma Zaidi..Tafrija ya Tanzania bloggers yafana Serena hotel!
Mwenyekiti wa Mtandao wa mabloga Tanzania Bw Joachim Mushi (The habari blog) akisisitiza jambo wakati akiwakaribisha wageni waalikwa na mgeni rasmi.
Mgeni rasmi katibu mtendaji wa MCT Bw Kajubi Mukajanga na Blogger Othman Maulid(Zanzibar...
Soma Zaidi..Shabiki wa Chelsea mpigania haki za binadamu atuhumiwa kwa ubaguzi Paris!
Bw Richard Barklie akihutubia kongamano la haki za binadamu nchini India
Imebainika kuwa askari polisi wa zamani na mpigania haki za binadamu Bw Richard Barklie ni mmoja kati ya mashabiki watatu wa Chelsea waliomzuia mtu mweusi Suleyman...
Soma Zaidi..Msanii Moses Bushagama aka Mez B afariki dunia leo!
Mez B enzi za uhai wake!
Msanii Moses Bushagama aka Mez B aliyewahi kung’ara na ngoma ya kikuku cha mama Roda ambayo mimi Mkala Fundikira nilimfanyia video yake katika miaka ya 2000 katika studio za Royal Productions, pamoja...
Soma Zaidi..Simba yashindwa kuunguruma Tanga!
Timu ya Simba leo jioni ilishindwa kuunguruma dhidi ya Coastal union ya jijini Tanga kkatika mchezo uliopooza hivyo kuendelea kusuasua katika ligi ya msimu huo. Pamoja na kuleta mashabiki wengi toka jijini Dar timu hiyo ya Msimbazi haikucheza...
Soma Zaidi..Homa ya mchezo kati ya Coastal union na Simba sports club yapamba moto!
Tanga town
Wakazi wa jiji la Tanga, viunga vya vyake na mikoa ya jirani leo hii watapata burudani inayotarajiwa kuwa ya kupendeza leo hii jioni mnamo saa 10.15 za jioni wakati Wekundu wa Msimbazi Simba SC itakapoingia katika stadia ya Mkwakwani...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)