mkalamatukio

Vazi la ubunifu Miss Dar Indian Ocean

Vazi hili lilitia fora katika mavazi yote ya ubunifu Miss Shamila Warembo wa Miss Dar Indian Ocean wakionesha vazi la ubunifu siku ya kilele cha shindano hilo Miss Sophia Miss Mary Shila Miss Mary Shila Miss...
Soma Zaidi..

Opening show ya Miss Dar Miss Indian Ocean ilivyoenda!

Washiriki wa Miss Dar Indian Ocean wakicheza  mziki wa kufungulia shindano Mshiriki Miss Mary Shila alitia fora kwa uchezaji wake mziki kwa umahiri. Suzannah Sawaya akinengua Miss Camilla John Mariam Salum akicheza opening...
Soma Zaidi..

Camilla John aibuka mshindi Redds Miss Dar Indian Ocean!

Miss Camilla John ndiye Redds Miss Dar Indian Ocean Top 3, Miss Dar Indian Ocean Camilla John akiwa na Mary Shila kulia na Getrude Massawe Top 5, toka kushoto Marim Salum, Mary Shila, Camilla John, Getrude Massawe na Hasnat Hussein Muandaaji...
Soma Zaidi..

Leo ndio leo Malkia wa Miss Dar Indian Ocean kupatikana leo!

 Warembo wa Miss Dar Indian Ocean jana walitembelea Club Billicanas kujinadi kwa mara ya mwisho ambapo leo watachuana vikali kuwania taji la Miss Dar Indian Ocean. Shindano hilo litafanyika leo usiku kuanzia saa 2 katika viwanja vya...
Soma Zaidi..

Kamati ya Miss Tanzania yatembelea kambi ya Redds Miss Dar Indian ocean!

Kamati ya Redds Miss Tanzania jana jioni ilifanya ziara katika kambi ya Redds Miss Dar Indian Ocean iliyopo katika Hoteli ya Chichi wilayani Kinondoni, jijini Dar. Ziara yao ilikuwa ni pamoja na kuwafunda warimbwende hao na kuwapa...
Soma Zaidi..