mkalamatukio

Opening show ya Miss Dar Miss Indian Ocean ilivyoenda!

Washiriki wa Miss Dar Indian Ocean wakicheza  mziki wa kufungulia shindano Mshiriki Miss Mary Shila alitia fora kwa uchezaji wake mziki kwa umahiri. Suzannah Sawaya akinengua Miss Camilla John Mariam Salum akicheza opening...
Soma Zaidi..

Camilla John aibuka mshindi Redds Miss Dar Indian Ocean!

Miss Camilla John ndiye Redds Miss Dar Indian Ocean Top 3, Miss Dar Indian Ocean Camilla John akiwa na Mary Shila kulia na Getrude Massawe Top 5, toka kushoto Marim Salum, Mary Shila, Camilla John, Getrude Massawe na Hasnat Hussein Muandaaji...
Soma Zaidi..

Leo ndio leo Malkia wa Miss Dar Indian Ocean kupatikana leo!

 Warembo wa Miss Dar Indian Ocean jana walitembelea Club Billicanas kujinadi kwa mara ya mwisho ambapo leo watachuana vikali kuwania taji la Miss Dar Indian Ocean. Shindano hilo litafanyika leo usiku kuanzia saa 2 katika viwanja vya...
Soma Zaidi..

Kamati ya Miss Tanzania yatembelea kambi ya Redds Miss Dar Indian ocean!

Kamati ya Redds Miss Tanzania jana jioni ilifanya ziara katika kambi ya Redds Miss Dar Indian Ocean iliyopo katika Hoteli ya Chichi wilayani Kinondoni, jijini Dar. Ziara yao ilikuwa ni pamoja na kuwafunda warimbwende hao na kuwapa...
Soma Zaidi..

Washiriki wa Miss Dar Indian Ocean wajichua vikali kuelekea kilele cha shindano hilo!

Shamila Yusuf Tazama picha za washiriki wa shindano la urimbwende la Miss Dar Indian Ocean 2014 wakiwa katika mazoezi ya mwisho kabla ya kilele cha shindano hilo jumamosi hii ya tarehe 7/6/2014 katika viwanja vya Nyumbani Lounge ambako...
Soma Zaidi..

Miss Dar Indian Ocean patakuwa hapatoshi!

Muandaaji wa Miss Dar Indian Ocean Bibi Rahama Yusuph Baada ya kufanya shindano la vipaji kwa mafanikio makubwa mnamo tarehe 23/5/2014 ambapo washiriki watano waliiingia fainali, sasa shindano la Miss Dar Indian Ocean litafanyika jumamosi...
Soma Zaidi..