mkalamatukio

Camilla John aibuka mshindi Redds Miss Dar Indian Ocean!

Miss Camilla John ndiye Redds Miss Dar Indian Ocean Top 3, Miss Dar Indian Ocean Camilla John akiwa na Mary Shila kulia na Getrude Massawe Top 5, toka kushoto Marim Salum, Mary Shila, Camilla John, Getrude Massawe na Hasnat Hussein Muandaaji...
Soma Zaidi..

Leo ndio leo Malkia wa Miss Dar Indian Ocean kupatikana leo!

 Warembo wa Miss Dar Indian Ocean jana walitembelea Club Billicanas kujinadi kwa mara ya mwisho ambapo leo watachuana vikali kuwania taji la Miss Dar Indian Ocean. Shindano hilo litafanyika leo usiku kuanzia saa 2 katika viwanja vya...
Soma Zaidi..

Kamati ya Miss Tanzania yatembelea kambi ya Redds Miss Dar Indian ocean!

Kamati ya Redds Miss Tanzania jana jioni ilifanya ziara katika kambi ya Redds Miss Dar Indian Ocean iliyopo katika Hoteli ya Chichi wilayani Kinondoni, jijini Dar. Ziara yao ilikuwa ni pamoja na kuwafunda warimbwende hao na kuwapa...
Soma Zaidi..

Washiriki wa Miss Dar Indian Ocean wajichua vikali kuelekea kilele cha shindano hilo!

Shamila Yusuf Tazama picha za washiriki wa shindano la urimbwende la Miss Dar Indian Ocean 2014 wakiwa katika mazoezi ya mwisho kabla ya kilele cha shindano hilo jumamosi hii ya tarehe 7/6/2014 katika viwanja vya Nyumbani Lounge ambako...
Soma Zaidi..

Miss Dar Indian Ocean patakuwa hapatoshi!

Muandaaji wa Miss Dar Indian Ocean Bibi Rahama Yusuph Baada ya kufanya shindano la vipaji kwa mafanikio makubwa mnamo tarehe 23/5/2014 ambapo washiriki watano waliiingia fainali, sasa shindano la Miss Dar Indian Ocean litafanyika jumamosi...
Soma Zaidi..

Baadhi ya wageni waliohudhuria shindano la vipaji Miss Dar Indian Ocean!

Mfanyabiashara Teef Fundikira akiteta kitu na Mkurugenzi wa kampuni ya Aset Bibi Asha Baraka. Mdau wa tasnia ya urembo Bi Hawa  Mkamba(kulia) akiwa na rafiki yake. Kutoka kushoto Asha Baraka, Mkurugenzi wa Lino International inayoandaa...
Soma Zaidi..

Wajue top five wa vipaji Miss Dar Indian Ocean!

Shindano la urembo la Miss Dar Indian Ocean likiwa linakaribia, siku ya ijumaa  tarehe 23/5/2014 wapenzi wa tasnia ya urembo jijini Dar na wilaya zake walishuhudia mchuano mkali wa kugombea ushindi wa kipaji katika ukumbi wa Chichi...
Soma Zaidi..