Mpiga mbizi shujaa amkaribia Papa!
Wapiga mbizi Vincent Canabal na Daniel Botelho walihatarisha maisha yao ili kumkaribia papa hatari katika pwani ya visiwa vya Bahama huko Marekani katika fukwe za Tiger ambapo Vincent alikuwa akimlisha chakula cha mbwa, papa huyo...
Soma Zaidi..Tom Daley asema yeye ni shoga!
Tom Daley(20)akionesha medali yake
Tom Daley Akiwa mchezoni
Mruka majini bingwa wa medali 2 za Olimpiki Muingereza Tom Daley(20) juzi alichukua uamuzi wa kujitangaza hadharani kupitia mtandao wa YUOTUBE kuwa yeye ni shoga. Kijana huyo...
Soma Zaidi..Mfanyakazi wa SWISSPORT Dar es Salaam afariki ghafla!
Salustian Boniface Clement alizaliwa 07/4/1962 na kufariki 29/11/2013.
Familia ya Salustian inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Bw Salustian Clement kilichotokea ghafla siku ya Ijumaa jijini Dar es Salaam. Taarifa za msiba huu...
Soma Zaidi..Shabiki wa Ajax ajeruhiwa vibaya baada ya kuanguka toka jukwaani
Watoa huduma ya kwanza wakimhudumia shabiki aliyeanguka akishangilia goli la pili.
Mshabiki wa timu ya Ajax Amsterdam ambaye hakutajwa jina, jana alianguka alipokuwa akishangilia bao la pili la timu yake dhidi ya Fc Barcelona...
Soma Zaidi..Tabora Funga mwaka Bash kuburudishwa wa na Belle9!
Msanii mkali wa Bongo Flava Belle9 atakuwa ni mmoja wa wasanii watatu watakaoburudisha Tamasha la Club Royal Funga Mwaka Bash litakalofanyika mjini Tabora katika ukumbi maarufu wa New Royal Garden. Akiongelea tamasha hilo mmoja wa wadhamini...
Soma Zaidi..Mama Hawa Haji Kamanga kuzikwa kesho!
Marehemu Bibi Hawa Kamanga 1941-2013
Mama Hawa Kamanga ambaye alifariki leo hii asubuhi mnamo saa 2:40 katika hospitali maalum ya wagonjwa wa Saratani ya Ocean Road ya jijini Dar es Salaam ameacha watoto 6, wa kiume watano na wa kike mmoja....
Soma Zaidi..Bibi afariki saa 48 baada ya kujua wajukuu zake wamefika hospitali kumuona!
Katika hali ya kusikitisha Mama Hawa Haji Kamanga (71) alifariki leo hii saa 2.40 Hospitalini Ocean Road baada ya kupigania uhai wake kwa siku kadhaa alizokuwa na hali mbaya sana lakini ilielekea alipigana kubaki hai mpaka pale wajukuu...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)