mkalamatukio

Warembo wa Redds Miss Tabora 2013 wakijfua vikali

Najifua mpaka kieleweke Warembo watakaoshiriki shindano la kumtafuta Redds Miss Tabora 2013 litakalofanyika katika ukumbi wa Frankman Palace  mnamo tarehe 31.Mei.2013 wamekuwa wakiendelea na mazoezi makali chini ya mwalimu wao Miss...
Soma Zaidi..

Nina asili ya Tabora! - Ommy Dimpoz!

Msanii anayekuja juu kwa kasi kama moshi wa kifuu Ommy Dimpoz ambaye hivi juzi alihojiwa na kituo maarufu cha redio mkoani Tabora CG fm 89.5, alisema pamoja na kuimba katika wimbo wa wasanii wa Kigoma lakini yeye pia ana asili ya Tabora...
Soma Zaidi..

Ommy Dimpoz athibitisha ku perfom Redds Miss Tabora 2013 kwa kusaini mkataba jijini Barcelona, Spain

Tia saini mwanangu Tabora wanakusubiria kwa hamu Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliye juu kwa sasa Ommy  Dimpoz (kwa poz) ambaye kwa karibu miezi mitatu amekuwa katika bara la Ulaya akifanya maonesho katika nchi tofauti zikiwemo...
Soma Zaidi..

Ilikuwa balaaaa!

Keyboy na Dj maarufu Ommy Composer  Siku ya Alhamisi tarehe ya tarehe 2/04/2013 bendi maarufu ya Mapacha Watatu ilitumbuiza mjini Tabora katika ukumbi wa Frankman Palace ambapo mambo mengi yalijiri ikiwemo vituko hebu jionee mwenyewe!...
Soma Zaidi..

Mapacha watatu wazindua albam Tabora!

UZINDUZI; Chokoraa kushoto na Jose Mara wakizindua album mpya katika ukumbi wa Frankman, Tabora. Bendi ya Mapacha watatu usiku wa alhamisi katika ukumbi wa Frankman Place mijini Tabora, walizindua album yao mpya iendayo kwa jina la Yarabi...
Soma Zaidi..

Siku Mapacha watatu walipovamia Tabora!

Bendi machachari ya Mapacha watatu toka jijini Da re Salaam ilifanya onesho kabambe mjini Tabora katika ukumbi wa Frankman Palace usiku wa   alhamisi. Bendi hiyo ikiwa china ya mkurugenzi wake Jose Mara(Mzee wa Kimara) na rapa machachari...
Soma Zaidi..

Msiba Uhazili! Tabora

Marehemu: Mariam Jumanne Tandala Uongozi wa chuo cha UHAZILI tawi la Tabora unasikitika kutangaza kifo cha mwanachuo wake ajulikanaye kwa jina Mariam Jumanne Tandala (30) kilichotokea alfajiri ya ya leo katika hospitali ya Kitete, mipamngo...
Soma Zaidi..