Mkurugenzi wa Amana bank afunga wiki ya huduma kwa wateja tawi la Mwanza!
Mkurugenzi wa benki ya Amana Dk Muhsin Masoud akimkabidhi zawadi mteja Yasmin Ismail Mussa kwa utunzaji bora wa fedha katika tawi la Mwanza.
Benki ya Amana leo hii imehitimisha wiki ya huduma kwa wateja ambapo katika...
Soma Zaidi..Benki ya Amana yazindua wiki ya huduma kwa wateja baada ya kutimiza miaka minne!
Mteja wa muda mrefu wa bemki ya Amana Bw Masoud Khalfan ambaye akizindua wiki ya huduma kwa wateja katika tawi la Main la benki ya Amana jijini Dar ka kukata utepe. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa benki hiyo Dk Muhsin Masoud, Kulia ni...
Soma Zaidi..INTRODUCING NEW MOVIE ; MAISHA NI SIASA
MAISHA NI SIASA is a political film that tells a story of sacrifice, patriotism, loyalty, heroism, challenges and the role that bloggers and social media activists play in post independent African politics and ongoing democratization...
Soma Zaidi..DC PAUL MAKONDA AONGOZA MATEMBEZI YA VYAMA VYA SIASA KUOMBEA NCHI AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akihutubia wananchi baada ya kupokea matembezi ya amani ya vyama vya siasa yaliyofanyika kuanzia eneo la Magomeni hadi viwanja vya Kinondoni Biafra Dar es Salaam leo asubuhi.
Mwenyekiti...
Soma Zaidi..RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote...
Soma Zaidi..DKT MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOA WA KILIMANJARO.
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli
pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne Kilango
wakiwasalimu wakazi wa Same waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za
CCM Ndungu.PICHA...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)