mkalamatukio

Mama Samia Suluhu Awasili Kigoma, Wananchi Wasimamisha Shughuli Kumlaki

Baadhi ya wananchi na wanaCCM wakiwa wamemsimamisha mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan Kata ya Igagala, Uvinza Mkoani Kigoma wakimtaka awasalimie kabla ya kuendelea na safari. Mgombea mwenza huyo wa CCM ameingia...
Soma Zaidi..

Harusi ya mwana TBN Dickson Busagaga ilivyofana!

Dickson Busagaga na Salome Mhozya katika picha baada ya kufunga ndoa iliyowafanya kuungana na kuwa mwili mmoja tukio lililofanyika katika kanisa la Mt. Teresia wa Mtoto Yesu jimbo kuu la Tabora mnamo tarehe 23 Sep, 2015. Waharusi...
Soma Zaidi..

Kalapina aunguruma Mtambani kata ya Mzimuni!

Karama Masoud aka Kalapina akihutubia wakazi wa eneo la Mtamba kata ya Mzimuni leo jioni Mwanaharakati Kalapina akimwaga sera kwa wakazi wa Magomeni Mikumi leo Picha na Hassan Kachlou...
Soma Zaidi..