MSAFARA WA SUGU WASHAMBULIWA KWA MAWE AKIELEKEA KATIKA KAMPENI ZAKE ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MBEYA
Gari la Mgombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu likiwa kituo cha Polisi kati jijini Mbeya mara baada ya kushambuliwa kwa mawe na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa CCM.
Sugu akiwa kituo cha Polisi na wafuasi wake.Picha...
Soma Zaidi..TAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27, 2015, MJINI BAGAMOYO MKOANI PWANI
Mwenyekiti wa Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni, John Mponda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika kuanzia tarehe 21 hadi 27, 2015 katika...
Soma Zaidi..MAGUFULI APOKELEWA KAMA MFALME KIGOMA,WANANCHI WAKIRI WAZI ATOSHA KUWA RAIS
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi
Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi waliofurika
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za Urais,uliofanyika katika uwanja
wa Kawawa,mkoani...
Soma Zaidi..Mh Iddi Azzan azindua kampeni za ubunge Kinondoni kwa kishindo!
Mh Iddi Azan akihutubia umti ulifurika katika viwanja vya CCM Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar leo jioni.
Mh Iddi Azan leo hii alizindua kampeni ya ubunge wa jimbo la Kinondoni ambapo yeye ndiye mgombea aliyeteuliwa na CCM kuiwakilisha...
Soma Zaidi..Bi. Samia Suluhu Afunika Mkutano wa Kampeni Kibaha
WanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (hayupo pichani) alihutubia
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)