mkalamatukio

BABA YAKE MSANII STEVE NYERERE AFARIKI!

 Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake.  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele.  Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele...
Soma Zaidi..

Prof Mark Mwandosya asaka wadhamini Kilimanjaro

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisalimiana na Waziri wa nchi,Ofisi ya Rais(Kazi Maalum) Prof,Mark Mwandosya mara baada ya kufika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro wakati akiwa njiani kutafuta wadhamini. Prof,Mwandosya...
Soma Zaidi..

Pamoja na kukosa tunzo ya Kili ki mizengwe Christian Bela apagawisha Tabora!

Christian Bella akijimwaga jukwaani. Masaa machache baada ya kukosa kitatanishi tunzo ya wimbo bora wa mwaka katika Kili Music Awards Christian Bela (King of melodies) alipagawisha wapenzi wa muziki mjini Tabora alipoporomosha bonge la...
Soma Zaidi..

Makamba alivyovunja rekodi ya mapokezi na wadhamini Iringa

Mh. January Makamba akiagana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Bi Jesca Mambatavangu mara baada ya January kusaini kitabu cha wageni katika ofisi za Chama. Mchngaji Kiwanga wa Iringa mjini akimkaribisha Mh. January Makamba...
Soma Zaidi..