WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA BAJAVERO DAR WAPATA MAFUNZO JUU YA HEDHI SALAMA.
Mratibu wa Mradi wa Afya wa Help Kids Edith Peter Mziray akiwasihi wanafunzi kuwa wasikivu wakati wa semina ya Hedhi salama
Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko
ambao pia ni waandaaji wa siku ya Hedhi Duniani...
Soma Zaidi..RAIS MSTAAFU MHESHIMIWA ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC.
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Ali Hassan Mwinyi akiambata na mama Sitti Mwinyi wawasili jijini Washington DC tayari kwa tamasha maalum la Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani.
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Ali...
Soma Zaidi..BALOZI MPYA WA ANGOLA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
Mhe, balozi wa Angola Agostinho Tavares akipokelewa na afisa wa ubalozi Swahiba Mndeme alipotembelea ubalozi .
Mhe, balozi Liberata Mulamula akiwa na furaha baada ya mgeni wake kufika ofisini .
Mhe balozi...
Soma Zaidi..Ujumbe wa Imetosha ukiwa Metro Fm 99.4 Mwanza!
Kutoka kushoto ni Juma Herman (meneja wa Green Palm Hotel), Issaya Mwakilasa aka Wakuvwanga, Jhikolabwino Manyika, Kelvina John, Mwenyekiti Masoud Kipanya na Tonny Alphonce(Mtangazaji Metro fm 99.4
Siku ya Ijumaa ya tarehe 17/04/2015...
Soma Zaidi..WATANZANIA WAFANYA VIZURI MBIO ZA NGORONGORO MARATHONI 2015
Waziri mkuu Mstaafu , Fredrick Sumaye akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbalimbali wakiwemo
waandaji buda mfupi kabla ya kuanza kwa mbio za Km 21 Katika gate la
kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro,
Waziri mkuu Msaatfu...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)