mkalamatukio

Kamati ya imetosha yatuma ujumbe mzito kanda ya ziwa!

Balozi Henry Mdimu akiongea na vyombo vya habari Taasisi isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu, inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa...
Soma Zaidi..

WANAFUNZI WA CARMAN AINSWORTH HIGH SCHOOL WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.

 Wanafunzi wa Carman Ainsworth High School iliyopo Michigan watembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC, na kupata fursa ya kuonana na Mhe balozi Liberata Mulamula. Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza kwa makini Mhe, balozi Leberata...
Soma Zaidi..

Siku Mh Al Shaymaar Kweigir alipoweka uheshimiwa pembeni na kusema IMETOSHA!

Mh Al Shaymaar akicheza wimbo wa Imetosha na balozi Mdimu pamoja na  baadhi ya watu waliohudhuria matembezi ya uhamasishaji wimbo huo uliimbwa na msanii wa reggae Jhikoman Manyika  . Siku ya matembezi ya uhamasishaji dhidi ya...
Soma Zaidi..

Winga Adam Johnson atuhumiwa kubaka binti mdogo!

Mchezaji wa kiungo wa kilabu cha Sunderland Adam Johnson amesimamishwa na kilabu chake baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kujamiiana na msicha mwenye umri wa miaka (15). Winga huyo mwenye miaka (27) anasadikika kupokea pauni 50,000...
Soma Zaidi..

Tafrija ya Tanzania bloggers yafana Serena hotel!

Mwenyekiti wa Mtandao wa mabloga Tanzania Bw Joachim Mushi (The habari blog) akisisitiza jambo wakati akiwakaribisha wageni waalikwa na mgeni rasmi. Mgeni rasmi katibu mtendaji wa MCT Bw Kajubi Mukajanga na Blogger Othman Maulid(Zanzibar...
Soma Zaidi..