Galaxy Ace/Galaxy s4 and JVC Camcorder for sale!
Samsung Galaxy S4
Samsung Galaxy Ace i9500
Jvc Camcoder GR-D329E Mini Dv tape
For details please call Mpemba on 0712 8310...
Soma Zaidi..BOB JUNIOR KUZINDUA WIMBO MPYA "BASHASHA" KAMSHIRIKISHA VANESSA MDEE
NYIMBO MPYA AMBAYO INAAMINIKA KUWA NI NZURI ZAIDI YA ULIZOWAHI KUZISIKIA ITAKWENDA KWA JINA LA "BASHASHA"
MWANADADA MKALI VANESSA MDEE NAYE NDANI KASHIRIKISHWA KWENYE NYIMBO HIYO KALI UTAKAYOPATA KUISIKILIZA BAADA YA UZINDUZI WAKE.
SASA...
Soma Zaidi..Nikon Hd SLR camera inauzwa!
Mtazamo wake kwa juu.
Extensive in-camera retouching including raw development and straightening
12.9 megapixel DX-format CMOS sensor (effective pixels: 12.3 million)
3.0-inch 920,000 pixel (VGA x 3 colors) TFT-LCD (same as D3 and D300)
Live...
Soma Zaidi..Valencia ndiye mchezaji mwenye kasi kuliko wote duniani!
Nyota wa Arsenal Theo Walcot amekuwa akifikiriwa ndiye mcheza soka mwenye kasi kuliko wote duniani, lakini imebainishwa kuwa kiungo wa timu ya Man United Antonio Valencia ametajwa na FIFA kuwa ndiye mcheza soka mwenye kasi kuliko wote ulimwenguni,...
Soma Zaidi..BOB JUNIOR | MASAI NYOTAMBOFU | SAMIR NA MASELE CHA POMBE KUBURUDISHA SIKUKUU YA EID EL HAJ TABORA
Bob junior aka Mr Chocolate Flavor
BOB JUNIOR | MR CHOCOLATE | RAIS WA MASHAROBARO | MTAALAMU WA VIOUNO
NI MSANII NA PRODUCER ANAYETAMBA NA VIBAO KAMA KIMBIJI, ANDAZI NA NYINGINE NYINGI, KWA MARA YA KWANZA ATADONDOSHA BONGE MOJA...
Soma Zaidi..Bob Junior kuburudisha wakazi wa Tabora siku ya Eid El Haj!
Bob Junior
Msanii machachari wa muziki wa kizazi kipya Bob Junior aka Sharobaro aka Rais wa wasafi hatimaye kwa mara ya kwanza atafanya onesho la kukata na shoka mjini Tabora katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi katika kusherehekea sikukuu...
Soma Zaidi..Washiriki wa Miss TPSC Tabora watembelea Cg fm
Nice Mbelwa(Meneja vipindi)akiwatambulisha washiriki wa Miss TPSC 2013 kwa mhariri wa habari wa Cg fm 89.5 Bw Titus Filipo.
Washiriki wa shindano la Miss TPSC 2013 jana walitembelea kituo cha redio cha CG fm 89.5 ambapo walioneshwa...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)