mkalamatukio

Siku Mapacha watatu walipovamia Tabora!

Bendi machachari ya Mapacha watatu toka jijini Da re Salaam ilifanya onesho kabambe mjini Tabora katika ukumbi wa Frankman Palace usiku wa   alhamisi. Bendi hiyo ikiwa china ya mkurugenzi wake Jose Mara(Mzee wa Kimara) na rapa machachari...
Soma Zaidi..

Msiba Uhazili! Tabora

Marehemu: Mariam Jumanne Tandala Uongozi wa chuo cha UHAZILI tawi la Tabora unasikitika kutangaza kifo cha mwanachuo wake ajulikanaye kwa jina Mariam Jumanne Tandala (30) kilichotokea alfajiri ya ya leo katika hospitali ya Kitete, mipamngo...
Soma Zaidi..

Afisa utamaduni Tabora azindua Redss Miss Tabora 2013 rasmi!

Afisa Utamaduni wilaya ya Tabora Bw Katunzi akisisitiza jambo Shindano la kumsaka mrembo wa Redds Miss Tabora 2013 jana lilizinduliwa rasmi na Afisa Utamaduni wa wilaya ya Tabora Bw Katunzi katika ukumbi wa Frankman Palace ambapo jumla...
Soma Zaidi..

Jon Myuzik avamia Tabora!

Msanii Jon Myusik aki pose! Kushoto; Mkala, Pili Issa, Jon Myuzik na Danny Kijumbe at Las Vegas pub Tabora Msanii wa muziki wa kizazi kipya John Myuzik ambaye anatamba na track yake mpya "TONIGHT" yupo Tabora kwa masuala ya ki familia,...
Soma Zaidi..

Playstation mpya inauzwa!

Playstation  mpya XBOX 360 60gb nyeupe ina controller 1, inauzwa, ipo katika box lake, atakayenunua atapata game moja buure! kwa bei na maelezo zaidi mpigie simu Alvin 0687232973....
Soma Zaidi..

Dayna amtunza shabiki buku kumi!

Dyna na patna wake wa stejini. Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flava Dyna, wikiendi iliyopita alitoa mpya pale alipoamua kumtunza kijana mmoja ambaye yeye Dyna alimwita stejini ili asaidiane naye kuimba wimbo alioimba na Marlow...
Soma Zaidi..

Chura Fashion Tabora inatisha ki noma!

Kwa nje Chura Fashion Chura Fashion ni duka la nguo za kike na kiume, viatu na mazaga zaga kibao mjini Tabora. duka hilo ambalo lina section mbili yaaniya kike na kiume halina mfano mjini Tabora. Hasa katika kipindihiki weekend inakaribia...
Soma Zaidi..