Gari inauzwa!
Toyota Rav 4 inauzwa: 2002 Model, 14,000 Milleage,1998Cc, Full ac, cd radio, Leather seats, Sun roof. For more details please inbox me on facebook or call 07546666...
Soma Zaidi..Miss Tanzania 2012/13 Brigitte Alfred
Mkurugenzi wa Miss Tanzania Bw Hashim Lundenga akisisitiza jambo katika semina ya mawakala iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika hoteli ya Girraffe jijini Dar. Aliyeketi kushoto kwake ni Miss Tanzania 2012/13 Brigitte Alfred.
...
Soma Zaidi..Mja mzito ashangazwa na uso kujitokeza tumboni mwake
Tumbo la Karen McMartin lionekanavyo kwa nje
Hali hii ingeweza kujitokeza katika scene za filamu za kutisha kama ile maarufu ALIEN. Lakini mama mtarajiwa Karen McMartin...
Soma Zaidi..Unaweza kumtambua Nassor Wazambi katika picha hii?
Mawakala wa Miss Tanzania katika semina wiki iliyopita
Picha hii ilichukuliwa siku ya semina ya mawakala wa Miss Tanzania, iliyofanyika katika hoteli ya Girraffe pembezoni mwa bahari ya hindi jijini Dar. Je unaweza kumtambua mwakilishi...
Soma Zaidi..Wazambi kuwakilisha kamati ya Miss Tabora katika semina ya Miss Tanzania
Nassor Wazambi
Mjumbe wa kamati ya Miss Tabora Bw Nassor Wazambi
ameteuliwa kuhudhuria semina ya mawakala wa Miss Tanzania itakayofanyika nje kidogo ya jiji la Dar katika hoteli ya kitalli ya Girraffe Hotel iliyopo kando kando ya...
Soma Zaidi..Picha zaidi za Miss Tabora
Opening show
PILI
MERINA DUGO
MWAJUMA
KOROBATIKI ZATUNI
DALILAH
CECILIA
FLORA MICHAEL
MAUA KIMAMBO
BEKA KAZINI
MISS TABORA NA MAUA KIMAMBO
KOROBATIKI ZAITUNI PETE...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)