MTOTO AWAKIMBIA WAZAZI WAKE JIJINI DAR ES SALAAM KUKWEPA KUKEKETWA
Kamanda wa Polisi Ilala, Salum Hamdun
Na Dotto Mwaibale
MTOTO mwenye umri wa miaka 12 ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kivule Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam jina lake linahifadhiwa ameelezea jinsi alivyofanikiwa...
Soma Zaidi..SUALA LA UKEKETAJI MKOANI MARA BADO NI PASUA KICHWA.
>
Baadhi ya wasichana wakitoka kukeketwa wilayani Tarime mkoani Mara, kumbuka mwezi Disemba, kila baada ya miaka miwili, ni msimu wa ukeketaji na tohara kwa baadhi ya Koo za Wakurya
BMGHabari
Pamoja na juhudi za...
Soma Zaidi..Amana Bank FC yaichabanga Dar community bank mabao 8-1!
Kikosi cha Amana FC ikiwa tayari kwa mchezo hapo juzi.
Timu ya mpira wa miguu ya Amana Bank FC juzi iliichabanga timu ya Dar Community Bank mabao 8-1 katika mchezo wa mashindano ya mabenki yanayoendelea katika uwanja wa Karume jijini...
Soma Zaidi..Mkurugenzi wa Amana bank afunga wiki ya huduma kwa wateja tawi la Mwanza!
Mkurugenzi wa benki ya Amana Dk Muhsin Masoud akimkabidhi zawadi mteja Yasmin Ismail Mussa kwa utunzaji bora wa fedha katika tawi la Mwanza.
Benki ya Amana leo hii imehitimisha wiki ya huduma kwa wateja ambapo katika...
Soma Zaidi..Benki ya Amana yazindua wiki ya huduma kwa wateja baada ya kutimiza miaka minne!
Mteja wa muda mrefu wa bemki ya Amana Bw Masoud Khalfan ambaye akizindua wiki ya huduma kwa wateja katika tawi la Main la benki ya Amana jijini Dar ka kukata utepe. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa benki hiyo Dk Muhsin Masoud, Kulia ni...
Soma Zaidi..INTRODUCING NEW MOVIE ; MAISHA NI SIASA
MAISHA NI SIASA is a political film that tells a story of sacrifice, patriotism, loyalty, heroism, challenges and the role that bloggers and social media activists play in post independent African politics and ongoing democratization...
Soma Zaidi..DC PAUL MAKONDA AONGOZA MATEMBEZI YA VYAMA VYA SIASA KUOMBEA NCHI AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akihutubia wananchi baada ya kupokea matembezi ya amani ya vyama vya siasa yaliyofanyika kuanzia eneo la Magomeni hadi viwanja vya Kinondoni Biafra Dar es Salaam leo asubuhi.
Mwenyekiti...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)