Mama Samia Suluhu Awasili Kigoma, Wananchi Wasimamisha Shughuli Kumlaki
Baadhi ya wananchi na wanaCCM wakiwa wamemsimamisha mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan Kata ya Igagala, Uvinza Mkoani Kigoma wakimtaka awasalimie kabla ya kuendelea na safari. Mgombea mwenza huyo wa CCM ameingia...
Soma Zaidi..Harusi ya mwana TBN Dickson Busagaga ilivyofana!
Dickson
Busagaga na Salome Mhozya katika picha baada ya kufunga ndoa
iliyowafanya kuungana na kuwa mwili mmoja tukio lililofanyika katika
kanisa la Mt. Teresia wa Mtoto Yesu jimbo kuu la Tabora mnamo tarehe 23
Sep, 2015.
Waharusi...
Soma Zaidi..Kalapina aunguruma Mtambani kata ya Mzimuni!
Karama Masoud aka Kalapina akihutubia wakazi wa eneo la Mtamba kata ya Mzimuni leo jioni
Mwanaharakati Kalapina akimwaga sera kwa wakazi wa Magomeni Mikumi leo
Picha na Hassan Kachlou...
Soma Zaidi..Zetrida Ezekiel atoka na Ringa na Yesu!
Zetrida Ezekiel ni mwanamuziki mahiri wa muziki wa injili aishiye mkoani Kigoma, amekuwa mwanamuziki wa nyimbo za injili ambaye ni mwana kwaya wa kikundi maarufu na kikongwe cha nyimbo za injili cha MKE MWEMA cha mjni Kigoma....
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)